Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

Hongera sana kwao, Sisi La pili B tunalakujifunza apo,
 
Ni wa kuhurumia aisee kwa karne hii ambayo hata msomi anaonekana zoba, sidhani kama ni jambo la kupewa kipaumbele saaana na kuonekana big deal
Tunawapongeza, ila Kuna upendeleo, wanatoa pesa, wengine wanatumia papuchi, nazani tuliopita mavyuoni au walioko wanajua kila kitu.
 
Wale tuliotoka na 2.4 tuna kikao cha dharura [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Baharia umetisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanakwenda kuwa waajiriwa wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…