ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Bado mnazungumzia ukabila !!????Hahaaaaa wachaga ni shida.
It won't save any purpose dunia ya leo usizungumzie ukabila.....Meela ni wachaga kutoka vunjo,meena ni wachaga toka machame so wote ni wachaga
Fuatilia ilikotoka, sijazungumzia ukabila mimiBado mnazungumzia ukabila !!????
Ma-future jobless wengine wameingia mtaani
Hawana chura wote. kibongo bongo watazidiwa mafanikio na felia mmoja mwenye kalio kubwa.Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.
Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,
Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi Katika Uhandisi Kemikali na Usindikaji.
Naona watani Chagga vs Pare
Hongereni sana
View attachment 1976838
View attachment 1976857
Nimempenda irene..kanaonekn kana aibu sn 6Γ6Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.
Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,
Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi Katika Uhandisi Kemikali na Usindikaji.
Naona watani Chagga vs Pare
Hongereni sana
View attachment 1976838
View attachment 1976857
Una upungufu wa unyevunyevu wa adabu kwa wadada wa mujiniπHawa ndo wakuoa sasa...sio makima yanayojua kudanga tu na kupiga vizinga...toto zina akili hizo nadhani hata papuchi zako hazijatembea kilomita nyingiπππ
UDSMkaipatia wapi..kwani jina lake halisi ni nani?
kama huna pesa ni matatizo palepale tu wanawake wanataka kuhudumiwa hata akiwa waziri bado huduma utatoa wewe kidume ata kama ni mwalimu wa primaryHawa ndo wakuoa sasa...sio makima yanayojua kudanga tu na kupiga vizinga...toto zina akili hizo nadhani hata papuchi zako hazijatembea kilomita nyingiπππ
Kweli mkuuKuna wapuuzi wanasema gpa kapewa kwa papuchi.
Hivi udsm unaweza pata first class kisa unahonga papuchi. Hiyo papuchi utahonga watu wangapi? Maana mfumo wa udsm unahusisha watu wengi sana kila sehemu
Wee gentleman GPA zinajulikana tuπHebu tupiamo tukaone
how tough is the course??... kwa mtu ku score 4.7...As a chemical engineer, Nmefurahi kusikia one of the best student anatoka chemical & Process Engineering....
Well done
Akiwa na GPA kubwa kapewa, Akifeli hana uwezo, Akiwa na simu/gari kali kuliko yako basi kuna jamaa kampa tu, Familia yake ikisimama vizuri basi ni mume wake ndie anemsaidia vinginevyo hamna kitu, Akivaa vizuri anadanga, akiwa Raisi ni Katiba tu yeye hamna kitu. πIla isije ikawa sehemu binafsi zimeumizwa vibaya in the process π€·π½ββοΈ
Waje jeshini tena πHawa ndio wanatakiwa wajiunge kwenye majeshi yetu kama vile polisi, jwtz, magereza, wazee wa suti nyeusi ili kuleta weledi kwenye majeshi