Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

Kweli Hao Ndio wa kuwaoa ila kwa mm npo kushoto Sana nawapendaga wale wa uswahilini dah wanavyojiachiaga daah naskiaga raha kweli kweli Yan dahh
Watoto wanajua kunana nazi yaani au sio,sasa shida ya vile vya uswahili haviji elewi....japo nimekupata kamanda.
 
Wanawake wanatukimbiza safari hii
 
Hilo wala sijakataa.....Ila ukweli unabaki pale pale papucha za wanawake wanaojitambua(wasomi genuine) nyingi ziko salama,Ila wale wengine sasa.....hatareee,Moto fayaa yaani.
Inategemea Mimi kipindi hiko nilisoma na dada mmoja huyo mzuri na kichwa kweli kweli ila sasa hawezi kukaa sawa bila kupigwa pampu yaani akipata hiyo hata mjitahidi vipi hammpati kwa Marks...hali hile ilikuwa inamfanya awe na wapenzi wengi walimu na wanafunzi Hadi wa o-level ila mwishowe paper ya necta alikuwa best student kwa shule mzima advance hiyo .
 
Mademu ambao ni vichwa wanakuwaga asilimia ndogo sana, wengi ni vichwa maji wanafikiria favour tu....
 
Sasa tufanyeje, ndio hivyo yaani 😂😂😂
 
Ila tusisahau tu kwamba ipo tofauti kubwa kati ya ufaulu wa darasani na utendaji kazi ofisini.
 
Hii case yako ni ya danga/changudoa la mitihani......alikuwa anauza papuchi ili afauli au avijishiwe mitihani....hii ni totfauti na wasomi genuine,tujaribi kutofautisha hapa mkuu
 
Hawa ndo wakuoa sasa...sio makima yanayojua kudanga tu na kupiga vizinga...toto zina akili hizo nadhani hata papuchi zako hazijatembea kilomita nyingi[emoji16][emoji16][emoji16]
Wakati wa kuchagua mke unatakiwa utambue watoto huchukua 80% ya akili za mama zao .sasa wewe nenda kaoe Tako uone watoto utakaofyatua akili zao zitakavyokuwa tope
 
Huyo Irene msengi alikua class mate wangu hapo udbs,kwa kweli hako kabinti kako vizuri sana kichwani.na kama sikosei kalipewa scholarship ya BOT kutokana na kufanya vizuri form 6.hongera zake kwa kweli,amevunja record ya miaka mingi kwani huwa ni vigumu sana kwa mtu kutoka udbs hasa hiyo bachelor of commerce in accounting kuongoza chuo kizima kama ilivyotokea mwaka huu,wengi huwa wanapata first class za kawaida tu.
 
We Bado mdogo,hujajua kucheza na mfumo dume ,makaratasi yake mwisho getini akiingia ndani ni mwendo wa ndio baba tu,kwanza lazima umformat kabisa yaani unaweka window yako mpyaaa
Wewe ndio bado mdogo,
 
Maisha yanabadilika sana miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu sana msichana kusimama hiyo nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…