Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

[emoji23][emoji23][emoji23]poleni sana
 
Hongera zao sana, hakika walitia bidii sana ndio maana wamepata ufaulu huu, tuna tumaini kwamba watatusaidia kwa kiasi kikubwa ktk shughuli za maendeleo kulingana na taaluma zao.
Ni kwl, l
akn pia kumbka kuw ufaulu wa mitihan mara nying haiendi sawasaw na utendaj wa taaluma zao.
 
Mungu akuwezeshe utumie hiyo akili kuchakata mazao yetu tutumie sisi wenyewe na vingine tuuze nchi za nje.
 
Hawa ndo wakuoa sasa...sio makima yanayojua kudanga tu na kupiga vizinga...toto zina akili hizo nadhani hata papuchi zao hazijatembea kilomita nyingi😁😁😁
😁😁😁😁😁😁
 
Sisi wa chato tupo wapi
 
Hawana mambo mengi kimuonekano

Hongera zao[emoji91][emoji91]
 
Hivi wanaume mbona hatupo hapo daaah aisee inauma sana ngoja nilipize huku chuoni kwangu πŸ€”πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…