Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
[emoji23][emoji23][emoji23]poleni sanaHao hakuna jobless hapo. Huyo wa uhandisi anapewa kazi udsm kama tutorial assistant. Huyo wa accounting big 4 auditing firms ambazo ni kpmg , pwc, ernst & young, na delloitte zimeshampa kazi. Hakunaga best student wa accounting wa udsm ama mzumbe anaekosa kazi miaka yote.
Kazi tunakosa kina sisi na gpa zetu za kuchechemea. Sio hao