Mahakama ilipoteza mwelekeo baada ya kukubali kujenga vibanda vya njiwa ndani ya Mahakama kisa tu. Tundu Lissu

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Mimi binafsi niliona mahakama imepoteza mwelekeo kitendo cha kukubali kujenga vibanda vya njiwa ndani ya mahakama kisa Tundu Lissu. Wengi wetu tulishakosa kua na imani na kitu kinaitwa Mahakama vibanda vya chips vinajengwa ndani ya mahakama kweli?

Bunge baada ya wabunge kua watetezi wa serikali na sio wananchi bunge lilikosa mvuto hakuna mtu mwenye akili timamu ambae yuko busy au kufuatilia Bunge. Sasa hii kesi ya Lissu imefanya watu wenye akili timamu tujue mahakama kumbe nayo ni mateka huu Muhimili kipindi cha wakina Jaji samatha angalau ulikua unaheshimika kwa wakati ule sizani kama wangekubali kujenga vibanda vya njiwa ndani ya mahakama kisa tu Tundu Lissu ?

Sasa wananchi wakijua Mahakamani Sio sehemu ya kupata Haki nini kitafuata ni watu kujichukulia sheria mkononi. Vyombo vya ulinzi na usalama hasa JWTZ tulijua ili ni jeshi la wananchi kilichotokea October 29 tukaja kugundua kumbe Jeshi la wananchi ni gelesha tu.

Sasa kwa mwenendo huu wananchi watakimbilia wapi maana kama ni Tume ya Uchaguzi wanajua sio huru. Nchi za magharibi zishajua kwamba CCM kwa sasa haikubaliki kwa wananchi kwa kitendo kilichotokea October 29 kwa sasa hii nchi kiwango cha upinzani kitaongezeka sana. Ni mda wa kutafakari Kama Taifa na kuona tunaondokaje kwenye huu mukwamo.
 
Screenshot_20260611-132808~2.png
 
Huyu ndiye anayeikwamisha kesi ya Lissu ili kumkomoa baada ya Lissu kumchallenge bungeni wakati akiwa mwanasheria mkuu hivyo analipq kisasi. Ukiwaongeza na kina jk na dully pamoja na mamake dully ndio wanamshangilia kuwa anafanya kazi nzuri.
Naye apigwe ban ya kuingia huko ulaya na marekani ili akome.
Mjinga sana
 
Hii nchi sio muda vikundi vya waasi vitaanza. na vitakuwa na nguvu sana.
 
Back
Top Bottom