Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana
Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila swali unaloulizwa bila kujali kiapo ulichokula jeshini au taasisi nyingine hii ni kwa sababu ukikataa kujibu unatishia mazingira ya upatikanaji wa haki ya mwingine hivyo Bw Urio alijichanganya tu!!! Jaji/hakimu ndo anaweza kupima maswali na kuamua swali gani lisijibiwe.