Mahakama itamleta IGP Sirro na Sabaya Mahakamani kama ilivyoombwa na Wakili Kibatala

Hajasema waje upande wa jamhuri, anataka waje upande wa utetezi.
 
uliona mbali sana comrade.
 
Kwa nini IGP aende kutoa ushahidi? Hii kesi ina kila ishara ya kufukua makaburi. Kufumua makaburi kunapingana na kanuni za usalama,ambapo mambo mengine yanapaswa kuwa classified.
 
Hivi mnalipwa on the basis of number of threads posted? Maana naona unapost thread Kama 100 a day.
 
Kwa nini IGP aende kutoa ushahidi? Hii kesi ina kila ishara ya kufukua makaburi. Kufumua makaburi kunapingana na kanuni za usalama,ambapo mambo mengine yanapaswa kuwa classified.
Akuanzaye unammaliza
 
IGP ni msimamizi mkuu wa usalama wa raia na mali zao.

Ole sabaya ni jambazi aliyehukumiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha.

Sasa, nilimsikia wakili Peter Kibatala akidai hawa wawili watakuwa ni miongoni mwa mashahidi wa upande wa utetezi.

Aliyemuelewa Kibatala anifafanulie Tafadhali.
 
Wewe nyamaza mambo makubwa kama haya huwezi kuelewa
 
Mbona simple tuu mkuu, igp ni msimamizi wa operation zote za jeshi la polisi na mkuu wa wilaya ni mkuu wa usalama wa sehemu husika, hivyo wanapaswa kuthibitisha kama walikuwa na ufahamu wa hii operation ya akina kingaii.
 
Mbona simple tuu mkuu, igp ni msimamizi wa operation zote za jeshi la polisi na mkuu wa wilaya ni mkuu wa usalama wa sehemu husika, hivyo wanapaswa kuthibitisha kama walikuwa na ufahamu wa hii operation ya akina kingaii.
Ndio utetezi wenyewe huo?!

Basi sawa.
 
sasa hujaelewa nini hapo? kwani wao wanakinga ya kutoitwa mahakamani??? hapo wameitwa kuja kutoa ushahidi na wataenda kwa mujibu wa sheria
?
 
Imekaa vizuri.

1) IGP alisema kwenye vyombo vya habari kwamba Freeman Mbowe ni Gaidi, alitaka kufanya ugaidi. Alienda mbele kumshutumu (Sio kumsadiki) na kumhukumu mtuhumiwa hata kabla ya kufikishwa mahakamani.

Hivo ni muhimu wa yeye kuletwa mahakamani ili atueleze na kutuweka sawa;

● Juu ya ufahamu wake dhidi ya Freeman Mbowe kuwa gaidi. Na atueleze kwanini alimshutumu na kumhukumu kwenye vyombo vya habari kwamba Freeman Mbowe ni gaidi kinyume na "Presumption Of Innocence (Everyone Is Pressumed To Be Innocent Until Proved Guilty Before A Court Of Law)" - Kila mtu hana hatia ya kosa lolote mpaka pale itakapothibitishwa mbele ya mahakama.

● Atuweke sawa kwanini kwa utemi, ukaidi, ujeuri, mabavu yeye kama IGP aliongelea kwenye vyombo vya habari swala hilo wakati akijua sheria haitaki swala kama hilo la kimahakama na kitafia kuongelewa mbele ya vyombo vya habari. Kwasababu, mahakama ndio ina kazi ya kumhukumu mtuhumiwa, na yeye kama IGP ana ushawishi mkubwa kwa asakari police wake wa chini hivo inaweza kupelekea swala hilo askari police tanzania nzima kumhukumu Freeman Mbowe na kusababisha haki isitendeke.

● Atueleze, yeye kama IGP kwanini aliruhusu vijana wake kuwatesa watuhumiwa kana kwamba wana hatia. Na aliruhusu vijana wake kuvunja sheria pindi wanakwenda kuwakamata watuhumiwa. Na kwanini yeye kama IGP ana ruhusu jeshi la police kuwa na askari vilaza, viazi, mbumbumbu wasiojua hata kusoma CPC wala PGA.

● Pia atuimbie ule wimbo usiokua na kiitikio wa PGA na CPC. Kama vijana wake waliotangulia kabla yake.

2) Ole Sabaaya ni jambazi lililo thibitishwa mbele ya mahakama. Anahitajika kutumika kama chambo, kwasababu yeye ndio aliasisi kukamatwa kwa watuhumiwa. Sasa inabidi atujuze aliwahi kuona wapi "MHALIFU AKAENDA KUMKAMATA MHALIFU".

NINA MENGI SANA YA KUANDIKA, ILA. . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…