Mahakama itoe hati ya kumkamata kiongozi wa dini aliyesema Rais amfutie kesi Mbowe

Kiongozi wa dini aliye muomba Mh. Rais amfutie kesi Mbowe na wenzake ni kosa kwa mujibu wa sheria kwa kuwa ameingilia mchakato wa mahakama ktk kutoa haki.

Tamko la kiongozi huyo wa dini limeonyesha wazi kuidharau mahakama na kuingilia taratibu za mahakama.
Basi waanzie wale walioomba mashehe wa uamsho kufutiwa kesi zao.
 
kesi ya uamsho ilifunguliwa na watuhumiwa walisota mahabusu zaidi ya mika 8 bila kesi kusikilizwa.....kesi yao haijawahi kusikilizwa ktk kipindi cha miaka 8, tofauti na kesi ya Mbowe imesikilizwa na sasa inaelekea kwenye Hukumu, sasa ktk mazingira hayo unaanzaje tena kumuomba Rais eti afute kesi?!

tukianza haka kamchezo, tutaanza na kesi ya Mbowe siku nyingine itakuwa kesi ya askofu, shek, waziri, Mfanyabiashara mkubwa n.k n.k.
huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Sheria.............
 
Mtoa hoja kasema ni kosa kuomba kwa mh. Rais kutoa shauri ambalo lipo mahakamani, nani nikamkumbusha kuwa kuna shauri lingine lilikuwa mahakamani na Rais aliombwa kuingilia kati. Hoja ya hatua ya kesi ilipofikia, hiyo ni hoja mpya.
 
Mm sijaelewa umeandika nn mwana CCM mwenzangu.

Mahakama uwafungulie mashitaka kiongozi aliyeomba kwa rais kuwa mh Mbowe aachiwe au asamehewe. Hapa mahakama itamshitaki kwa kosa gani? Kivipi ombi lake limeathiri maamuzi ya mahakama au mchakato wa kesi hii?

Umesema pia, kesi ikiwa mahakamani ni kosa kuizungumzia ila hujasema kuizungumzia ki vipi. Kwa hiyo na wewe ufunguliwe mashitaka kwa kosa la kuzungumzia kesi iliyopo mahakamani?

Mwisho umegusia mambo ya siasa, ebu fafanua uhusiano wa viongozi wa dini na wanasiasa kupitia ombi lao.

Isije kuta umevurugwa na Putin na upo kwenye MNING'INIO mkubwa.
Kitendo cha viongozi wa dini kumuomba Rais afute/asamehe kesi ya mbowe ni kitendo cha kutokuheshimu utawala wa sheria.

Viongozi wetu wa Dini wanapaswa wawe mfano mzuri wa kuheshimu na kusisitiza utawala wa sheria, kwani utawala wa sheria ndio unao Leta Haki na kuzaa Amani....

Kwa mujibu wa Katiba Mahakama ndio chombo pekee cha kutoa Haki.

Viongozi wetu wa dini wanapaswa wasisitize juu ya kufuata sheria na kutii mamlaka yaani; Dola, Bunge na Mahakama.

Sheria za nchi zinakataza kuingilia jambo ambalo linaendelea mhakamani na kwa kufanya hivyo ni kosa na unaweza kukamatwa na kufunguliwa mashitaka.
tuheshimu vyombo vyetu.
 
Ila viongozi wa dini hawajaiingilia mahaka, wao wamezungumza na rais wao au unataka kusema uhuru wa kuongea upo ila sio kwa mahakama?
 
Kiongozi wa dini aliye muomba Mh. Rais amfutie kesi Mbowe na wenzake ni kosa kwa mujibu wa sheria kwa kuwa ameingilia mchakato wa mahakama ktk kutoa haki.

Tamko la kiongozi huyo wa dini limeonyesha wazi kuidharau mahakama na kuingilia taratibu za mahakama.

Kiongozi huyo wa dini anafahamu wazi kuwa kesi hiyo ipo Mahakamani na inaendelea kusikilizwa na ni kosa kuizungumzia kesi iliyoko Mahakamanii lkn kwa maksudi kabisa Kiongozi huyo wa dini akaamua kutamka neno hilo la kuvuruga na kuingilia utaratibu wa mahakama.

kitendo hicho sio tu kaidharau Mahakama bali ameidhihaki na kuiona mahakama si chochote sio lolote, hivyo endapo mahakama haitochukua hatua ktk vitendo/kitendo kama hiki basi Mahakama itakuwa sio chombo cha kutoa haki.

Kama leo Vingozi wa dini wanadiriki kuto kuheshimu Muhimili wa Mahakama kwa kuomba eti Rais mfutie kesi Mbowe basi tutegemee siku nyingine pia wataomba Pia Sabaya afutiwe kesi. Tutavuruga nchi yetu kama hatuto heshimu utawla wa sheria.

Viongozi wetu wa dini tunawaonba wawe makini na matamko yao ambayo yanaweza kuleta utata na kuvuruga taratibu za nchi, wajiepushe kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa wazi wazi kwani watatugawa sisi waumini wao, lengo la viongozi wa dini ni kutuunganisha sio kutugawa kwa misingi ya kisiasa, kama tunavyo muona baba askofu wamkula na wengine ambao mara zote wanatugwa kwa misingi ya kisiasa.

Hivyo ili kulinda uhuru na hadhi ya mahakama ni vyema Kiongozi huyo wa dini akamatwe na afikishwe mbele ya mahakama ili aweze kujibu tuhuma za kuingilia na kudhihaki taratibu za Kimahakama.

Utawala wa Sheria lazima uheshimiwe kwa kuviheshimu vyombo vyetu vilivyo pewa mamlka kwa mujibu wa Katiba.
Huyu mtu siyo wa kwanza kutoa ombi hili kwa Mh. Rais, nadhani kuna mtu au watu wanasiasa ambao nao pia walishawahi kuwasilisha ombi la namna hii. Mbona hawa wenyewe hawakutolewa wito wa kukamatwa kama unaoutoa wewe hapa?
By the way, kilichotolewa ni ushauri, na siyo ORDER. Ingekuwa ORDER, hiyo ndiyo ingekuwa imeingilia uhuru wa mahakama
 
Unapata nn baada ya kukamatwa, mental disorders is serious problem.
 
Watumishi wa Mungu Mida mingine ni wasemaji kwa niaba ya Mungu so ukipuuza inaweza kugarimu
 
Mtoa hoja kasema ni kosa kuomba kwa mh. Rais kutoa shauri ambalo lipo mahakamani, nani nikamkumbusha kuwa kuna shauri lingine lilikuwa mahakamani na Rais aliombwa kuingilia kati. Hoja ya hatua ya kesi ilipofikia, hiyo ni hoja mpya.
huwezi kulinganisha kati ya kesi ya "uansho" na kesi ya mbowe.

Kesi ya uamsho watuhumiwa wake walisota mahabusu zaidi ya miaka 8 bila kusikilizwa, walikosa ushahidi kabisaa.....waliachiwa huru.

Kesi ya Ugaidi wa Mbowe imesikilizwa na ushahidi umetolewa na wamekutwa wanayo kesi ya kujibu....
sasa ktk mazingira haya.....unaanzaje kumuomba Rais afute kesi?!

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa nini huwa ni wagumu namna hii kuelewa? mleta hoja kasema ni kosa kuomba kuondoa shauri ambalo lipo mahakamani, ingawaje siyo kosa kisheria. Kesi ya uamsho nayo ilikuwa mahakamani, hivyo kama kipimo ni shauri kuwa mahakamani, basi mashauri yote yalikuwa mahakamani, hatua kesi ilipofikia ni hoja nyingine hiyo.
 
Kiongozi wa dini aliye muomba Mh. Rais amfutie kesi Mbowe na wenzake ni kosa kwa mujibu wa sheria kwa kuwa ameingilia mchakato wa mahakama ktk kutoa haki.

Tamko la kiongozi huyo wa dini limeonyesha wazi kuidharau mahakama na kuingilia taratibu za mahakama.

Kiongozi huyo wa dini anafahamu wazi kuwa kesi hiyo ipo Mahakamani na inaendelea kusikilizwa na ni kosa kuizungumzia kesi iliyoko Mahakamanii lkn kwa maksudi kabisa Kiongozi huyo wa dini akaamua kutamka neno hilo la kuvuruga na kuingilia utaratibu wa mahakama.

kitendo hicho sio tu kaidharau Mahakama bali ameidhihaki na kuiona mahakama si chochote sio lolote, hivyo endapo mahakama haitochukua hatua ktk vitendo/kitendo kama hiki basi Mahakama itakuwa sio chombo cha kutoa haki.

Kama leo Vingozi wa dini wanadiriki kuto kuheshimu Muhimili wa Mahakama kwa kuomba eti Rais mfutie kesi Mbowe basi tutegemee siku nyingine pia wataomba Pia Sabaya afutiwe kesi. Tutavuruga nchi yetu kama hatuto heshimu utawla wa sheria.

Viongozi wetu wa dini tunawaonba wawe makini na matamko yao ambayo yanaweza kuleta utata na kuvuruga taratibu za nchi, wajiepushe kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa wazi wazi kwani watatugawa sisi waumini wao, lengo la viongozi wa dini ni kutuunganisha sio kutugawa kwa misingi ya kisiasa, kama tunavyo muona baba askofu wamkula na wengine ambao mara zote wanatugwa kwa misingi ya kisiasa.

Hivyo ili kulinda uhuru na hadhi ya mahakama ni vyema Kiongozi huyo wa dini akamatwe na afikishwe mbele ya mahakama ili aweze kujibu tuhuma za kuingilia na kudhihaki taratibu za Kimahakama.

Utawala wa Sheria lazima uheshimiwe kwa kuviheshimu vyombo vyetu vilivyo pewa mamlka kwa mujibu wa Katiba.
Hizi ndiyo akili za magufuli
 
huwezi kulinganisha kati ya kesi ya "uansho" na kesi ya mbowe.

Kesi ya uamsho watuhumiwa wake walisota mahabusu zaidi ya miaka 8 bila kusikilizwa, walikosa ushahidi kabisaa.....waliachiwa huru.

Kesi ya Ugaidi wa Mbowe imesikilizwa na ushahidi umetolewa na wamekutwa wanayo kesi ya kujibu....
sasa ktk mazingira haya.....unaanzaje kumuomba Rais afute kesi?!

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Unaelimu gani?
Ulisoma wapi?
Ulifaulu kwa kiwango gani?
Ulifanya mitihani mwenyewe au alifanyiwa kama ilivyokawaida
Hujui hata kulinganisha vitu??
 
Mm sijaelewa umeandika nn mwana CCM mwenzangu.

Mahakama uwafungulie mashitaka kiongozi aliyeomba kwa rais kuwa mh Mbowe aachiwe au asamehewe. Hapa mahakama itamshitaki kwa kosa gani? Kivipi ombi lake limeathiri maamuzi ya mahakama au mchakato wa kesi hii?

Umesema pia, kesi ikiwa mahakamani ni kosa kuizungumzia ila hujasema kuizungumzia ki vipi. Kwa hiyo na wewe ufunguliwe mashitaka kwa kosa la kuzungumzia kesi iliyopo mahakamani?

Mwisho umegusia mambo ya siasa, ebu fafanua uhusiano wa viongozi wa dini na wanasiasa kupitia ombi lao.

Isije kuta umevurugwa na Putin na upo kwenye MNING'INIO mkubwa.

Contempt of the court process
 
kitendo hicho sio tu kaidharau Mahakama bali ameidhihaki na kuiona mahakama si chochote sio lolote, hivyo endapo mahakama haitochukua hatua ktk vitendo/kitendo kama hiki basi Mahakama itakuwa sio chombo cha kutoa haki.

Screenshot_20220305-075111_Gallery.jpg
 
kwa sasa limeisha hilo.
kesi imeondolewa lkn kama ingekuwa inaendelea basi utaratibu ungebaki plepale.
 
Back
Top Bottom