Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

Tunampongeza sana Wakili aliyefungua shauri hili la kikatiba. Maamuzi hayo yameingia kwenye kumbukumbu kuwa mgombea huru ni jambo LA msingi na pia Mahakama zetu zinaweza kutafsiri kuwa hata mbalamwezi waweza kuiita Jua la usiku
 
Magufuli anawalipa majaji mishahara na marupurupu, siku wakiamua tofauti wataambiwa serikali yake haina pesa za kuwalipa wapinga kasi ya maendeleo. After all most of civil servants hawataki kuchafua hali ya hewa.
 
Nchi yenye wanasiasa ndumilakuwili ina uhitaji mkubwa zaidi ya watu kufuatilia vyombo vya kuunda na kutoa sheria vinaendaje, kuliko nchi ambayo ina wanasiasa wasio na undumilakuwili.

You are making a case against what you are proposing.

Yani ni kama unasema "Huu mtaa una wezi wengi sana, watu waache madirisha na milango wazi tu".

Mtaa wenye wezi wengi sana watu hawatakiwi kuacha madirisha na milango wazi.

Wanatakiwa kuimarisha ufungaji wa milango na madirisha.
 
Hata mtoto wa Darasa la pili alijua aliyefungua kesi hana hoja, labda anatafuta kiki.
Alafu bado eti ni "mwanasheria", tuna safari ndefu.

Kule Kenya baada ya KANU kuangushwa kwenye uchaguzi, watumishi wengi kama Majaji ilibidi waombe kazi upya.
Kwa utaratibu transparence and rule of law wale vibaraka wa KANU waliopindisha haki kufurahisha wakubwa zao, wote walitemwa no job.

Kwa hiyo records zinatunzwa, kuna siku ukweli wa hizi judgements utajulikana, kutakuwa na vilio na kusaga meno!!
 
Magufuli anawalipa majaji mishahara na marupurupu, siku wakiamua tofauti wataambiwa serikali yake haina pesa za kuwalipa wapinga kasi ya maendeleo. After all most of civil servants hawataki kuchafua hali ya hewa.

I beg to differ!
Magufuli halipi mshahara wa any civil servant. Kodi za Watanzania ndizo zinazolipa mishahara ya all civil servants inTanzania including Magufuli himself!!!Tatizo kubwa la Watz ni unafiki,nidhamu ya woga na kutanguliza maslahi binafsi!
 
Maajabu ya dunia , kwahiyo Mwambe mbunge wa viti maalum vya Ndugai ambavgo havipo kikatiba na Ndugai alienzisha viti maalum vya spika wameshinda? Jaji haijui Katiba yetu kuwa hatuna vitu maalum vya spika? Majaji mwezi was pili huu no salary .
 
Nikweli hilo lilitegemewa kuwa hivyo ila faraja ni kuwa tayari kwenye record imeishaingia kuwa hicho kitendo kilipinngwa na utawala ulitumia mabavu kudhulum haki kuliko kunyamaza bila kufungua kesi
 
Ukijifanya mjuaji utaishia pabaya.Jaji wa kitanzania anapambana na changamoto nyingi.
 
Maajabu ya dunia , kwahiyo Mwambe mbunge was viti maalum vya Ndugai ambavgo havipo kikatiba na Ndugai alienzisha viti maalum vya spika wameshinda? Jaji haijui Katiba yetu kuwa hatuna vitu maalum vya spika?

Tatizo kwa awamu hii hakuna Utawala wa sheria. Magufuli ndiyo kila kitu! Jiwe anaingilia Mihimili yote kana kwamba yeye ni muumba wa Tanzanians na nchi yote. Very shameful President ever!
 
Ukijifanya mjuaji utaishia pabaya.Jaji wa kitanzania anapambana na changamoto nyingi.

Hivi kusimamia sheria, Utawala Bora na ulio wa Haki ni kujifanya mjuaji? Tambueni Haki Zenyu enyi Wadanganyika wa karne hii!
 
Rufani labda mahakama za nje ya nchi, sio hizi zilizo biased.
Uzuri majaji wamewapa vifungu mlivyikosea lakini hamridhiki. Kesi ya ubunge mnaenda kudai haki za binadamu. Wapi na wapi?
 
Uzuri majaji wamewapa vifungu mlivyikosea lakini hamridhiki. Kesi ya ubunge mnaenda kudai haki za binadamu. Wapi na wapi?

Haki inatakiwa kuonekana kutendeka na sio kuambiwa tu imetendeka. Kwa kifupi kwa hapa tulipofikia hakuna mahakama inaweza kutenda haki kwa wapinzani, hilo wala halina mjadala. Hatuna imani tena na mahakama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…