Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli anawalipa majaji mishahara na marupurupu, siku wakiamua tofauti wataambiwa serikali yake haina pesa za kuwalipa wapinga kasi ya maendeleo. After all most of civil servants hawataki kuchafua hali ya hewa.Tatizo lako husomi....na hiyo ni sifa moja mbaya sana ya Watz walio wengi ukiwemo.Uvivu wa kusoma!!!
Kwa mtu anayesoma au aliyesoma Katiba ya JMT hii kesi iko wazi kabisa. Tatizo ni Mahakama kupindisha na kucheza na longolongo ya kusingizia"Technicalities" ili kujaribu kuzima hoja....Non-sense!!!
Nchi yenye wanasiasa ndumilakuwili ina uhitaji mkubwa zaidi ya watu kufuatilia vyombo vya kuunda na kutoa sheria vinaendaje, kuliko nchi ambayo ina wanasiasa wasio na undumilakuwili.Nafahamu umedhamiria kitu fulani,
Tanzania watu waoga na wanahofu sana kutumia nguvu ya uma kudai haki
Nimekuelewa vizuri sana ,Kwa hali ya sasa bora watu waendelee na Maisha yao
Wanasiasa wote ni ndumilakuwili
Angalia waliohama wote wameacha majeraha kwa vijana
Hata mtoto wa Darasa la pili alijua aliyefungua kesi hana hoja, labda anatafuta kiki.
Alafu bado eti ni "mwanasheria", tuna safari ndefu.
Hata mtoto wa Darasa la pili alijua aliyefungua kesi hana hoja, labda anatafuta kiki.
Alafu bado eti ni "mwanasheria", tuna safari ndefu.
Magufuli anawalipa majaji mishahara na marupurupu, siku wakiamua tofauti wataambiwa serikali yake haina pesa za kuwalipa wapinga kasi ya maendeleo. After all most of civil servants hawataki kuchafua hali ya hewa.
Kwa hiyo ulitaka mahakama isitende haki? Nafasi ya rufani ipo.Sikutegemea kitu tofauti na hicho.
Ukijifanya mjuaji utaishia pabaya.Jaji wa kitanzania anapambana na changamoto nyingi.I beg to differ!
Magufuli halipi mshahara wa any civil servant. Kodi za Watanzania ndizo zinazolipa mishahara ya all civil servants inTanzania including Magufuli himself!!!Tatizo kubwa la Watz ni unafiki,nidhamu ya woga na kutanguliza maslahi binafsi!
Maajabu ya dunia , kwahiyo Mwambe mbunge was viti maalum vya Ndugai ambavgo havipo kikatiba na Ndugai alienzisha viti maalum vya spika wameshinda? Jaji haijui Katiba yetu kuwa hatuna vitu maalum vya spika?
Mlichanga watz?Hizi mahakama za kukomoa upinzani.....
Bado naikumbuka ile fine tuliyochanga watz 320,000,000 yaani ili tu kukomoa wengine......
Stupidity at its peak
Kwa hiyo ulitaka mahakama isitende haki? Nafasi ya rufani ipo.
Ukijifanya mjuaji utaishia pabaya.Jaji wa kitanzania anapambana na changamoto nyingi.
Uzuri majaji wamewapa vifungu mlivyikosea lakini hamridhiki. Kesi ya ubunge mnaenda kudai haki za binadamu. Wapi na wapi?Rufani labda mahakama za nje ya nchi, sio hizi zilizo biased.
Mkuu hilo swali muulize Jenerali Ulimwengu aliesema demokrasia imerudi miaka 50 nyuma.Hivi kusimamia sheria, Utawala Bora na ulio wa Haki ni kujifanya mjuaji? Tambueni Haki Zenyu enyi Wadanganyika wa karne hii!
Uzuri majaji wamewapa vifungu mlivyikosea lakini hamridhiki. Kesi ya ubunge mnaenda kudai haki za binadamu. Wapi na wapi?
Uzuri Katiba hii hii anayoisigina haimpi kinga ya kutokushtakiwa, mwache ajichetue tu