Piga ndanikachonga kakimbia.....
na Jaji atakayesikiliza mwishoni atakimbia then atakuja wa kusoma hukumu tu ya kifungo cha Mbowe cha maisha jela....baada ya hapo litafunguliwa shauri mahakama kuu la kuifuta CDM, litapita na 2023 CDM itakuwa haipo tena hapa duniani.
Mungu ni wa wote....Mungu Ni kimbilio la wanyonge, watu wasio na mamlaka Wala mtetezi, watu wanaoonewa kiholela!!
Sabaya anakili kuwa mambo aliyoyafanya alikua akitekeleza Maagizo ya mamlaka ya uteuzi na akasema hata Mpango anajua!!
Sasa ulitaka Mungu awe upande wa wauwaji, wanyang'anyi, wezi nk, haya mambo Ni ya kishetani na wote mnaoyafanya Ni Watumishi wa Ibirisi Shetani!
Kama kwa sabayaYatokeayo yanastajaabisha
PGO za space na clubhouse...toka lini yule felaini keshakuwa na maana😁😁😁😁😁 Maombi yamejibu. PGO imetupwa kule😂😂😂😂😂
nilichoshangilia si Sabaya kufungwa kifungo kirefu, nilishangilia ni atuachie shemeji mtarajiwa Jesca kwa muda mfupi tu tumwonyeshe upande wa pili wa sh upoje.Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia? Si ni mahakama hizi hizi tulishangilia
🤣Ingia barabarani kamanda ukinukishe ili Mbowe atoke
HahahahaUmeweka maneno ya kumpamba pamba.....
matokea unayo lakini!!
Ooo Sawa....nilichoshangilia si Sabaya kufungwa kifungo kirefu, nilishangilia ni atuachie shemeji mtarajiwa Jesca kwa muda mfupi tu tumwonyeshe upande wa pili wa sh upoje.
Mahakama ziko hurunilichoshangilia si Sabaya kufungwa kifungo kirefu, nilishangilia ni atuachie shemeji mtarajiwa Jesca kwa muda mfupi tu tumwonyeshe upande wa pili wa sh upoje.
Siwezi kushangilia hukumu yoyote, hata kama mibya haki lakini iliyopitia kwenye mikono michafu.Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia?
Mi nafikiri, Alitakiwa baada ya kuteuliwa kuwa JK ajitoe kwenye hii kesi kwa kuwa kuna maslahi aliyopata akiwa ndani ya kesi na yanaweza kuathiri maamuzi, maslahi hayo ni kuteuliwa kwa kupandishwa cheo na mhimili ambao ndio unashtakiNadhani kama ipo fursa ya kukata rufaa katika kesi hii ndogo ndani ya kesi kubwa Mawakili wa utetezi ni bora wafanye haraka.
Jaji Kiongozi katika shauri hili alionyesha utulivu wa hali ya juu kiasi kuwaaminisha wale wote waliokuwa wakifuatilia shauri hili kwamba angetenda haki na haki ikaonekana.
Rais kwa kutumia mamlaka yake ajamteua katika nafasi ya Jaji Kiongozi.Hata namna alivyotoa hitimisho lake unaona wazi kaamua kuwafurahisha waliompatia nafasi hiyo.
Kupitia kesi hii unaona kabisa umuhimu wa katiba mpya.
Kwa hiyo wewe ni nyani hapo?!!wazungu hawajacheka kweli hapo mahakamani! kimoyomoyo wanasema mmmh kweli waafrika ni manyani!
Umeishiwa eee?!!!🤣🤣Huyu jaji ni kabila gani? dini gani? anaishi wapi? mwageni wasifu wake wote... ni lazima ajadiliwe hapa leo, tusimwache atuchezee nyeti zetu sisi ni watu wazima tunamzidi umri na hata elimu by the way.
Kupambana na dola kwa katiba hii ni kazi nzito sana, tukubali Mbowe anafungwa - sasa tunajipangaje kama watetezi wa nchi hii?
CCM chini ya mwenyekiti wao wameamua kinaga ubaga kumfunga Mh. Mbowe hatuna namna nyingine ni suala la muda tu.
Huna akiliAlipewa rushwa ya cheo. Ametimiza matakwa ya mteule wake. Sasa atapewa jaji mwingine atakayepangwa na yule jaji miongoni mwa wasiojulikana, jaji simba.
Marehemu kwa kuwapachika wasiojulikana kuwa majaji, aliua kabisa mfumo wa mahaka huru.
Uharibifu wa marehemu kwenye maeneo mbalimbali ya taasisi za utawala na serikali, itachukua miaka mingi kuurekebisha. Na bahati mbaya Hangaya naye, anaenda kiunafiki kuihadaa jamii ya kimataifa huku moyoni akiwa hana dhamira ya dhati ya kuondoa uchafu walioutengeneza wakati wa awamu ua 5.
Wapi nimecheka?Cheka sana. Your day is coming...