Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

kachonga kakimbia.....

na Jaji atakayesikiliza mwishoni atakimbia then atakuja wa kusoma hukumu tu ya kifungo cha Mbowe cha maisha jela....baada ya hapo litafunguliwa shauri mahakama kuu la kuifuta CDM, litapita na 2023 CDM itakuwa haipo tena hapa duniani.
Piga ndani
 
Mungu Ni kimbilio la wanyonge, watu wasio na mamlaka Wala mtetezi, watu wanaoonewa kiholela!!

Sabaya anakili kuwa mambo aliyoyafanya alikua akitekeleza Maagizo ya mamlaka ya uteuzi na akasema hata Mpango anajua!!

Sasa ulitaka Mungu awe upande wa wauwaji, wanyang'anyi, wezi nk, haya mambo Ni ya kishetani na wote mnaoyafanya Ni Watumishi wa Ibirisi Shetani!
Mungu ni wa wote....

Wa matajiri na sisi vipato vya chini...

Wa viongozi na sisi tunaoongozwa....

Mungu akatukumbusha TUZITII MAMLAKA....
 
Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia? Si ni mahakama hizi hizi tulishangilia
nilichoshangilia si Sabaya kufungwa kifungo kirefu, nilishangilia ni atuachie shemeji mtarajiwa Jesca kwa muda mfupi tu tumwonyeshe upande wa pili wa sh upoje.
 
nilichoshangilia si Sabaya kufungwa kifungo kirefu, nilishangilia ni atuachie shemeji mtarajiwa Jesca kwa muda mfupi tu tumwonyeshe upande wa pili wa sh upoje.
Ooo Sawa....

Jela haina Mwenyewe....

Na uendelee kushangilia hivyohivyo kila kesi.....
 
Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia?
Siwezi kushangilia hukumu yoyote, hata kama mibya haki lakini iliyopitia kwenye mikono michafu.

Sabaya ni mhalifu kwa ushahidi wa walio wengi. Mimi sina ushahidi.

Kilichonifadhaisha ni kujua kuwa hata jaji aliyemhukumu Sabaya ni miongoni mwa wasiojulikana. Wasiojulikana huongozwa na amri ya mkubwa wao, na sip mfumo wa mahakama.

Hivyo sina shaka kuwa hukumu ya Sabaya imefanywa kwa maelekezo. Jambo ambalo ninkosa kubwa.
 
Kupambana na dola kwa katiba hii ni kazi nzito sana, tukubali Mbowe anafungwa - sasa tunajipangaje kama watetezi wa nchi hii?

CCM chini ya mwenyekiti wao wameamua kinaga ubaga kumfunga Mh. Mbowe hatuna namna nyingine ni suala la muda tu.
 
Hii kesi ishaisha tayari Kamanda kupona ni sawa na Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano✌✌
 
Nadhani kama ipo fursa ya kukata rufaa katika kesi hii ndogo ndani ya kesi kubwa Mawakili wa utetezi ni bora wafanye haraka.

Jaji Kiongozi katika shauri hili alionyesha utulivu wa hali ya juu kiasi kuwaaminisha wale wote waliokuwa wakifuatilia shauri hili kwamba angetenda haki na haki ikaonekana.

Rais kwa kutumia mamlaka yake ajamteua katika nafasi ya Jaji Kiongozi.Hata namna alivyotoa hitimisho lake unaona wazi kaamua kuwafurahisha waliompatia nafasi hiyo.

Kupitia kesi hii unaona kabisa umuhimu wa katiba mpya.
Mi nafikiri, Alitakiwa baada ya kuteuliwa kuwa JK ajitoe kwenye hii kesi kwa kuwa kuna maslahi aliyopata akiwa ndani ya kesi na yanaweza kuathiri maamuzi, maslahi hayo ni kuteuliwa kwa kupandishwa cheo na mhimili ambao ndio unashtaki
 
Watanzania wenzetu wengine wapo Jela kwa kufanya makosa na wengine wameshamaliza vifungo vyao

Haki itendeke maana leo kwao kesho ni kwa yeyote
 
Huyu jaji ni kabila gani? dini gani? anaishi wapi? mwageni wasifu wake wote... ni lazima ajadiliwe hapa leo, tusimwache atuchezee nyeti zetu sisi ni watu wazima tunamzidi umri na hata elimu by the way.
Umeishiwa eee?!!!🤣🤣

Dini tena ?

Kabila tena ?!! Khaaa 😲🤣
 
Kupambana na dola kwa katiba hii ni kazi nzito sana, tukubali Mbowe anafungwa - sasa tunajipangaje kama watetezi wa nchi hii?

CCM chini ya mwenyekiti wao wameamua kinaga ubaga kumfunga Mh. Mbowe hatuna namna nyingine ni suala la muda tu.

Labda recruitment ya Amsterdam itasaidia. Ila lisu aje aongeze nguvu pia timu ya utetezi
 
Alipewa rushwa ya cheo. Ametimiza matakwa ya mteule wake. Sasa atapewa jaji mwingine atakayepangwa na yule jaji miongoni mwa wasiojulikana, jaji simba.

Marehemu kwa kuwapachika wasiojulikana kuwa majaji, aliua kabisa mfumo wa mahaka huru.

Uharibifu wa marehemu kwenye maeneo mbalimbali ya taasisi za utawala na serikali, itachukua miaka mingi kuurekebisha. Na bahati mbaya Hangaya naye, anaenda kiunafiki kuihadaa jamii ya kimataifa huku moyoni akiwa hana dhamira ya dhati ya kuondoa uchafu walioutengeneza wakati wa awamu ua 5.
Huna akili

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom