Heri ya nyapara wa duniani kuliko nyapara wa vibwengo kaburiniIna maana Subaya atakuwa senior.....
kuliko Mbowe kwa maana ya jela.....
kweli vyeo hutokea pahala pasipotarajiwa
Utanyolewa wewe na ukoo wako kwa wizi wa batawembe uliomnyoa Sabaya utumike huo huo kumnyolea Mbowe [emoji120]
Hii kesi kwenye hiyo mahakama naona imeisha kwa huu uamuzi wa kutengeneza wa leo ambao kimsingi umetolewa kama asante kwa mamlaka ya uteuzi kwa kumpa jaji cheo...uamuzi mbaya zaidi ni pale Jaji aliposema kuwa maelezo ya Adamoo yalitolewa kwa hiyari.
Jaji mwenyewe haijui haki, unamwambia nani mwingine atende haki? huyo mtuhumiwa mwingine alipatikana au hakupatikana?Tenda haki. Amezungumzia pia muda uliotumika kumtafuta mtuhumiwa mwingine. Kutumia 'maneno maoni yangu' ni lugha za kawaida za kisheria na kimahakama. Hukumu ni tafsiri ya sheria na tafsiri inatolewa na Jaji siyo sheria yenyewe. Sheria inatungwa na Bunge, tafsiri yake inatolewa na mahakama kwa maana ya Jaji baada ya kupata maoni pia ya mawakili.
Kupanic kwako huku hakutamuokoa gaidi,Mmoja ni yule babako wa kufikia.
Haya. Aga gangi. Mungu mubariki Freeman.Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Ila gaidi anapendwa na magaidi wenzie?Dikitete hajawahi kupendwa na wenye akili timamu
Nyie bavicha bhana!Mbowe hafungwi, msitishane eti kwa sababu ya huo uamuzi mdogo
Hizo mbwembwe tu, sijaona jaji wa kumtia hatiani mbowe kwa makosa ya ugaidi
Si mlikuwa mnashangilia kama huu ushaidi unawavua nguo selikali?..uamuzi mbaya zaidi ni pale Jaji aliposema kuwa maelezo ya Adamoo yalitolewa kwa hiyari.
Sababu aliyoitoa wakati wa kujitoa ndiyo inapigilia msumari hoja ya kuwa serikali imeingilia kesi hii ili kuweza kupata matokeo wanayouataka wao.Jaji Kiongozi: ni sawa tunapaswa Kunaendele na Shahidi Lakini nikaomba nishauriane na Mawakili. Sasa Nimeona kwamba Shauri hili ni Moja ya Shauri linalopaswa kuisha kwa haraka.
Jaji: Kama Shauri likienda mfululizo ingechukua Miezi kama Minne
Jaji: Hivyo kwa Majukumu niliyonayo nimeona nijitoe aje Jaji mwingine haraka iwezekanavyo zekanavyo
Jaji ananyanyuka anaondoka Zake.
Kamuulize kwanza MaliyamunguIla gaidi anapendwa na magaidi wenzie?
Wewe konokono umeshalisahau lile basi letu?Lissu yupi huyo unaye mkumbuka mpaka leo?
Au unamtaja yule aliyepigwa risasi 38?
Hii hukumu huyu jaji ameitoa kwa mujibu wa maoni yake yeye na wala siyo uhalisia wa ushahidi uliotolewa. Ameiandika kihuni huni mno!Jaji mwenyewe haijui haki, unamwambia nani mwingine atende haki? huyo mtuhumiwa mwingine alipatikana au hakupatikana?
Utaamuaje shauri kwa kutumia kitu/mtu kisichoonekana? sheria sio hisia, siku zote inataka prove beyond any doubt.
Mtuhumiwa anaposema alitoa maelezo baada ya kuteswa, jaji angetakiwa kupata ripoti ya daktari kwa uthibitisho, lakini kuamua kukubali mtuhumiwa alitoa maelezo pekee bila kujali nini kilitangulia kabla ya maelezo yake ni kuinajisi mahakama.
Naona umeshabugia magimbi kwa shemeji yako sasa unarohoja hapo kwenu ngimbisamabuaWewe konokono umeshalisahau lile basi letu?
jaji: Lilian pia kama Shahidi wa tatu ambaye ni Mke wa Adam Kasekwa alithibitisha kuwa alimuona Adam Kasekwa kuwa kateswa na kwa kuthibisha kwa makovu. ...Na alivyokuwa anatembea
Hebu kaa kimya.Naona umeshabugia magimbi kwa shemeji yako sasa unarohoja hapo kwenu ngimbisamabua
Endelea kupumzika chini ya mwembe ili angalau mmeng'enyo ufanye kazi magimbi yashukeHebu kaa kimya.
Si mlikuwa mnashangilia kama huu ushaidi unawavua nguo selikali?