Hii kesi kwenye hiyo mahakama naona imeisha kwa huu uamuzi wa kutengeneza wa leo ambao kimsingi umetolewa kama asante kwa mamlaka ya uteuzi kwa kumpa jaji cheo.
Mahakama ya rufaa chini ya majaji watatu ndio napopategemea, hawawezi kutoa hukumu kwa "maoni yao" kama alivyofanya Siyani.
..exactly.
..kama Jaji anakubali Adamoo ametoa ushahidi kwa hiyari maana yake anakubaliana na maudhui ya ushahidi huo.
..Katika mazingira hayo sioni ni jinsi gani Jaji ataamua kuwa Adamoo hana hatia pale atakapofanya maamuzi ktk kesi ya msingi.