Hii kesi kwenye hiyo mahakama naona imeisha kwa huu uamuzi wa kutengeneza wa leo ambao kimsingi umetolewa kama asante kwa mamlaka ya uteuzi kwa kumpa jaji cheo.
Mahakama ya rufaa chini ya majaji watatu ndio napopategemea, hawawezi kutoa hukumu kwa "maoni yao" kama alivyofanya Siyani.
Ni kweli kabisa, Tanzania hakuna silaha za maana. Kuwatoa ni rahisi tu. Hivyon ingia barabaraninsasa hivi ukinukishe makengeza atokeUnasema hivyo kwa sababu mna jeshi na silaha. Wapo waliotolewa madarakani wakiwa na majeshi na silaha za maana kuliko hizo zenu.
Hivi wewe husikii? Nimekuambia kaa kimya.Endelea kupumzika chini ya mwembe ili angalau mmeng'enyo ufanye kazi magimbi yashuke
hakuna kitu kama hicho, kijana mdogo vepeeeMbowe yuko na mamilioni ya Watanzania serikali iko tested ikimuonea Mbowe inaweza leta fujo na machafuko.
Pole sana ndugu yangu.Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia? Si ni mahakama hizi hizi tulishangilia
Ingia barabarani kamanda ukinukishe ili Mbowe atoke
Badala ya kuligomboa basi la Lisu umekalia kupiga mayowe mtandaoni.Naona bado una machungu sana mara baada ya kuondokewa na mwenzio.View attachment 1980965
Njoo hapa kisongo Airport ukutane na mwenzakoBadala ya kuligomboa basi la Lisu umekalia kupiga mayowe mtandaoni.
Poleni sana, hapa kuna watu tofauti wenye nyadhifa tofauti na mashitaka tofauti, HIVI unawalinganishaje? Kwenye swala lipi?.Sabaya akifungwa sawa Gaidi akielekea kufungwa hakuna haki. Kenge sana nyie cdm
Bado unapiga mayowe?Njoo hapa kisongo Airport ukutane na mwenzako
Hili suala la kuhoji matokeo ya kesi hizi mbili limerudiwa na watu kadhaa. Hivi mtu mwenye akili ya wastani anaweza kusema kesi ya Mbowe na Sabaya zinafanana kwa hiyo hukumu zake inabidi zifanane!?Sabaya akifungwa sawa Gaidi akielekea kufungwa hakuna haki. Kenge sana nyie cdm
Waliisha zoea kufanya hivyo, lakini watahangaika sana kama alivyokuwa amepania yule aliyeondoka katikati ya mwezi March, hatua mwisho Mungu atahakikisha kuwa haki ndio inashinda. AmenNgumu kumeza ni kwamba:-
Tunajua kila kitu kimepangwa, Jaji atakayekuja ataendelea na shauri hili atajitoa dk za mwisho kwa sababu yoyote ile, then atakuja Jaji wa mwisho kumalizia kesi na kusoma hukumu ya kifungo cha maisha kwa Mh. Mbowe... Litafunguliwa shauri Mahakama Kuu la kuifuta CDM, kisha itafutwa kabla ya uchaguzi Mkuu ujao. Sabaya atatoka baada ya miaka 3 ama 4 hivi. Kama kawaida watanzania tutasahau na CCM itatawala kwa raha huku ACT akiwa ndiyo chama kibaraka wako mkuu ku-justfy upinzani nchini.
Maombimabaya hatuyataki tena, tuliomba kupata dikteta akajakweli na mnaona tunavyoumizwa.Katikatiya mateso omba vizuri, HATUTAKI MKOLONI, tunataka apatikane Mtanzania mwenye hofu ya Mungu awe Kiongozi na si mtawala.Hii nchi kuna haja ya kutawaliwa tena. Atafutwe mkoloni mzuri haraka. Imeshindwa kujiendesha
Sema Mungu Ibariki Tanzania, CHADEMA ni sehemu yake.Mungu mbariki Mbowe mtetee, muokoe, pia mtoe katika mikono ya watesi wake!
Mungu ibariki CHADEMA!
"Mahakama ndio kila kitu"?Kila la heri kwake kaka Mbowe
Mahakama ndio kila kitu
Hakuna hata mbu atakayesumbuaMbowe yuko na mamilioni ya Watanzania serikali iko tested ikimuonea Mbowe inaweza leta fujo na machafuko.
Wewe wasema KituriloMbowe anasubiriwa ale mvua 30 damu ya chacha wangwe inamlilia
Haki huinua taifa, historia ngumu iliyo kiandama chama kinachoandamwa na mamlaka huhitaji kuuliza sababu za uamuzi kama huu, ila mwendelezo wa pale walipofikia katika jitihada ovu zilizoshindwa miaka yote, kwa uwezo was Mungu.Mungu ni mwema wakati wote.
Sheria ni msumeno ndiposa Yesu akamwambia Pilato "....wewe usingekuwa na mamlaka juu yangu kama usingepewa kutoka juu"
Sheria na Siasa za Afrika ni Pasua Kichwa.