Mahakama kuu imetoa hati kukamatwa Nabii na Mtume Josephati Mwingira

Kuna mgongano wa maslahi kati ya kanisa LAKE na baadhi ya viongozi wa serikali legelege
 
Huwa najiuliza kwanini huwa hamsemi mapema kasoro hizi? Pete mara oh kulala makaburini! Hivi we Mwingira hawa si ndo wanaopaswa kuwa wateja wako? walioko kanisani mwako hawakuhusu kwa sasa, zungumza na hao wenye pete za majini waje kwako badala ya kulala makaburini. Jiandae sasa watakutoa huko kanisani na utaishia makaburini.
Unakumbuka wale watoto ambao Mwingira alisema wametumwa na Babu Loliondo?unajua wapo wapi?
 
Kuna mgongano wa maslahi kati ya kanisa LAKE na baadhi ya viongozi wa serikali legelege
Wafuasi wa Mwingira ni Waziri Fredrik Sumaye ndiye aliye wezesha Mwingira kupata uwanja Mwenge .Basir Mramba upande wa mkewe, John Mangufuli alisimikwa na Nabii Mwingira,Rc Olejurai
Aliyekuwa Rukwa,Majenerali wa Jeshi nao ni wadau.Rozi mwanamke kutoka AkibaBENK.WAHADHIRI UDSM
 
Nabii na Mtume Joseph Mwingira amesema, yeye ni Mtume wa mitume wote duniani na hawezi kuogopa na polisi wanao mtafuta.

Amesema serikali ya Tz inaongozwa na watu wanalala makaburi na kuchanjwa chale na waganga wa kienyeji.

Amesema viongoz wakuu akiwemo rais wanavaa pete za wachawi na hirizi hivyo hawana uwezo wa kupambana naye.

Akiongea kwenye ibada alisema kama wananisaka kwa nini wasijekunikamata hapa kanisani? Nitapambana mpaka kieleweke, Nipotayari kufa. Amewataka waumini wake wasitishwe na viogozi wa serikali wanaolala Makaburini.

Uongozi Tanzania siku hizo umekuwa sikivu sana na wanalea sana wananchi mpaka kuitusi \Serikali.

Enzi za Nyerere huyo nabia sijui saa hizi angekuwa anazungumzia wapi? Demokrasia na uhuru wa habari naona sasa unatumiwa vibaya na hawa viongozi wa dini.

Haya kazi kwenu
 
Mfuasi wa Mwingira tusaidie Ukweli tujue ni kwanini anadharau Mahakama,kule Bagamoyo na Dsm
Amesema anaheshimu serikali(mahakama, bunge na utawala) na haogopi kitu chochote isipokuwa Mungu aliye mtuma. na ndivyo inavyotupasa kuwa. serikali ipo kwa ajili yetu hatupswi kuiogopa. Mi sioni tatizo hapa. Hayo yanayotokea mara bagamoyo mara mwenge, ukweli ni kwamba bagamoyo kuna eneo la shule ya Efatha (Efatha Seminary School ambayo ni form I-VI) ambapo wananchi wamevamia na kujenga ndani ya eneo la shule na wanalalamika ni lao. sheria itaamua na sio haya maneno ya mitaani.
Pale mwenge jamaa(afro plus ltd) alishapewa notice muda mrefu atoe vitu vyake maana eneo lote ni la kanisa ili ufanyike ujenzi, muda mrefu umepita hataki. anategemea nini sasa. Kazi ya Mungu lazima itendeke.
Sijaona dharau hata moja hapa zaidi ya watu ku express chuki binafsi ambazo hazina msingi. nijuavyo mimi anayemchukia mwingira ana JINI au mapepo. Na Injili lazima ihubiriwe na watu waokoke kwani Bwana Yesu yu karibu kuja. Kuna vita ya kiroho inaendelea tunaijua na hatutashindwa kwani kiongozi wao (shetani) alishashindwa 2000yrs ago, maana tunayo mamlaka ya YESU Kristo kama isemavyo luka 10:19 "tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka(shetani) na nge(jini,mapepo) na nguvu zote za yule adui(uchawi), wala hakuna kitakacho wadhuru"
mmezoea kuona walokole masikini! sisi sio maskini hata kidogo ndio maana fujo haziishi.
karibuni kwa Yesu muondokane na machungu na kujihakikishia ufalme wa Mungu, mpate Roho mtakatifu atakaye wafunulia siri msizo zijua na kufanya mambo makubwa...HALELUYA
JESUS LOVES YOU...
 
Nadhani wewe ndio nikusaidie, maana hata kusoma unarukaruka, kila kitu kimeelezwa hapo uliposoma, sielewi usichoelewa ni nini. Biblia sio dini na wala sikutamka neno Biblia katika habari unayodhani unajua zaidi kuliko mimi hata kujitia unaweza kunisaidia. Usinisaidie mimi, jisaidie kutokuamini kwako na kutokuwa na upeo wa kutosha kusoma habari na kuitafakari kabla ya kuianzia majibu. Unajibu taarifa nisiyohusika nayo. Nilizungumzia kuamini watu na wala sio kuiamini Biblia. Nilizungumzia dini ya ukatoliki au upentekoste ambayo mleta hoja alinipeleka huko kwamba kwa ukatoliki alionivisha alihukumu tayari kwamba sina sifa kutomwamini Kakobe sababu kwa maelezo yake Mwamakula mwenyewe, yeye Kakobe aneleza kweli tupu inayowasaidia watu, lakini hakusema ni watu gani. Naam, sitaingia kujadili hukumu ya Mwamakula maana naye kafunuliwa hayo. Wewe pia wataka kuapotosha mada na kutaka kuanzisha ubishi juu ya Biblia ambayo piga ua siinui ulimi wangu kuibishania, ubishi huo unakufaa peke yako. Misahafu yote ni safi ila kila asomaye hutafsiri atakacho akisikie.

Moyo wa binadamu unayo matamanio mengi, lakini kusudi la Mungu ndilo litakalosimama na kutimizwa. Kama kuhubiri hata shetani anahubiri hata kupata waumini wengi sana, anammjua Mungu kuliko binadamu yeyote maana yeye alikuwa mtumishi wa Mungu nambari moja. Kama matendo umeambiwa binadamu wote tumeoza na kutenda dhami tunatenda kila wakati kiasi kwamba Mungu hatamhesabia mtu haki kwa matendo yake tu. Ni kwa neema tunaokolewa na sio kwa kuhubiri sana au kutenda hayo unayoyaita wewe mema. Tunaagizwa tuwe na kiasi na kutambua tunapokosea na kumlilia Mungu atusamehe. Sasa wewe ni mtenda mema unaishi dunia ya wapi? Tunatakiwa tuifuate haki. Hiyo haki sio kuipuuza na kuidharau serikali. Ni hiyo Biblia uisemayo waijua (sijui kama kweli waijua sawasawa, ni swala la jukwaa lingine la kidini na sio hapa tenakujadili hayo) inatuagiza tuwaheshimu watawala wetu maana wamewekwa na Mungu. Sasa yeye Mwingira anaowaona makaburini ni viongozi wa aina gani? Kama ni nabii kweli, alikwenda kuwapelekea ujumbe wa Mungu au amefunuliwa kuwahukumu kupitia vyombo vya habari hasa pale vyombo vya dola vinapomtafuta kwa tuhuma za uhalifu?

Tusipende ushabiki tu, ni busara kutafakari japo kidogo tu. Serikali iliyopo madarakani ni halali kwa mtu yeyote uwe unaipenda au la. Kuiombea kwa Mungu ndiyo hekima ya kiroho zaidi kulikoni kupayukia kwenye vyombo vya habari. Sio kila asemaye Bwana, bwana ni miliki ya Bwana. Hata huyo Paulo sikusema namuamini, bado hupendi kufikiri unaposoma. Hakuna niliposema hayo ila unanichomekea. Lakini kwa kuwa unakusudia ya kwako kuanzisha kupitia mimi, nikuache hivyo na sikujibu zaidi ya haya uliyonilazimisha kukujibu. Bahati mbaya unadai "tukusaidie" sijui mnisaidie wewe na nani. Nendeni kajisaidieni wenyewe, msaada wenu hauna tija kama ni kwa mwenendo huo.

kwenye rangi ya blue hapo, Mbona hii huwa anaiongelea mara kibao tu sema we ndo umeisikia sasa. Yapo mambo mengi yanafanyika ambapo mpaka jicho la rohoni ndipo utajua. Yanayotokea sasa sio ya kawaida katika nchi hii ni ushetani tu....
 
Najua unafuatilia sana mahubiri ya Mwingira ambayo yanarushwa moja kwa moja kwenye Tv.Hebu nisaidie uliwahi kusikia Mwingira anakemea uvaaji wa mawigi,mavazi ya kikahaba, suluari kwa wanawake?Maana pale kanisani kwake asilimia 90% ndo mavazi yao including viongozi na mkewe!

Efatha inafuata biblia (Neno la MUNGU)
mawigi anakataza, ingawa watu wanavaa kwa utashi wao na biblia haijakataza wigi labda wewe uniambie ni wapi? Kuhusu mavazi biblia inasema wanaume wasivae mavazi ya kike na vice versa, kwa habari ya suruali kuna suruali za kike ambazo mwanaume huwezi kuvaa unless unataka kuwa kituko; nazo ni za wanawake ndizo wanazo vaa, pia haiishii kwenya mavazi tu, yale mambo yampasayo mwanamke hupaswi mwanaume kuyafanya mfano ku-assume responsibilities za mwanamke kwa matendo kama ushoga n,k hiyo ndio kuvaa vazi la kike (kama ilihisi ni mavazi ya nguo tu pekee yakupasa kumwalika roho wa Mungu pindi unapo tafakari neno akusaidie).
kuvaa ni choice ya mtu, kila mmoja anavaa vile anona anapendeza.
kwa upande mwingine mwanamke hapaswi kuvaa vazi la kiume, yaani vazi (nguo) na ku-assume resposnibilities za mwanamume (lesbians).
sijakuelewa hapo kwenye vazi la kikahaba, unamaanisha nini? Je ulisha wahi kuja Efatha mwenge ukamkuta mwanamke yuko uchi kama kahaba wanavyo vaa? Sema ukweli na Mungu wake aweshahidi....

Sasa wewe uniambie ni wapi kwenye biblia imeandikwa kwamba suruali ni vazi la kiume?
 
Nabii na Mtume Joseph Mwingira amesema, yeye ni Mtume wa mitume wote duniani na hawezi kuogopa na polisi wanao mtafuta.

Amesema serikali ya Tz inaongozwa na watu wanalala makaburi na kuchanjwa chale na waganga wa kienyeji.

Amesema viongoz wakuu akiwemo rais wanavaa pete za wachawi na hirizi hivyo hawana uwezo wa kupambana naye.

Akiongea kwenye ibada alisema kama wananisaka kwa nini wasijekunikamata hapa kanisani? Nitapambana mpaka kieleweke, Nipotayari kufa. Amewataka waumini wake wasitishwe na viogozi wa serikali wanaolala Makaburini.

viongozi wa-kikristo kama matahila.
 
Amesema anaheshimu serikali(mahakama, bunge na utawala) na haogopi kitu chochote isipokuwa Mungu aliye mtuma. na ndivyo inavyotupasa kuwa. serikali ipo kwa ajili yetu hatupswi kuiogopa. Mi sioni tatizo hapa. Hayo yanayotokea mara bagamoyo mara mwenge, ukweli ni kwamba bagamoyo kuna eneo la shule ya Efatha (Efatha Seminary School ambayo ni form I-VI) ambapo wananchi wamevamia na kujenga ndani ya eneo la shule na wanalalamika ni lao. sheria itaamua na sio haya maneno ya mitaani.
Pale mwenge jamaa(afro plus ltd) alishapewa notice muda mrefu atoe vitu vyake maana eneo lote ni la kanisa ili ufanyike ujenzi, muda mrefu umepita hataki. anategemea nini sasa. Kazi ya Mungu lazima itendeke.
Sijaona dharau hata moja hapa zaidi ya watu ku express chuki binafsi ambazo hazina msingi. nijuavyo mimi anayemchukia mwingira ana JINI au mapepo. Na Injili lazima ihubiriwe na watu waokoke kwani Bwana Yesu yu karibu kuja. Kuna vita ya kiroho inaendelea tunaijua na hatutashindwa kwani kiongozi wao (shetani) alishashindwa 2000yrs ago, maana tunayo mamlaka ya YESU Kristo kama isemavyo luka 10:19 "tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka(shetani) na nge(jini,mapepo) na nguvu zote za yule adui(uchawi), wala hakuna kitakacho wadhuru"
mmezoea kuona walokole masikini! sisi sio maskini hata kidogo ndio maana fujo haziishi.
karibuni kwa Yesu muondokane na machungu na kujihakikishia ufalme wa Mungu, mpate Roho mtakatifu atakaye wafunulia siri msizo zijua na kufanya mambo makubwa...HALELUYA
JESUS LOVES YOU...

Asante kwa taarifa hiyo fupi kutujuza. Lakini hapo penye rangi nyekundu tafakari kwa jicho la rohoni. Tuliaswa na Kristo mwenyewe, "Usihukumu, usije ukahukumiwa wewe" Utamu wake ni pale binadamu anapokuwa amechoka kufikiri anatafuta majibu rahisi lakini asijue kwamba majibu rahisi madhara yake ni makubwa. Wapo waliomwita Yesu kwamba ni mkuu wa mapepo (Belzeburi) kwa kuwa mapepo yanamtii akikemea. Sikilizia walichofaidika nacho alipowaambia "Dhambi zote mtu anaweza kusamehewa, lakini atakayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe". Binadamu hatutaki kuachana na upofu wa kuuona ukweli hata Mwalimu tunayemwamini akifundisha vipi. Ukitaka kuiona siku njema, ufunge hatamu ulimi wako na akili yako vijifunze kufuata maagizo kutoka rohoni. Amani itafute sana. My take, unamaanisha wale wapenzi wa Mwingira ndio peke yao wamepona mapemo na majini, wote walio kinyume naye wana mapepo na au tuseme, wenye mapepo wote na wenye majini ni wale wanaomchukia Mwingira? Ana nini hasa wamchukie kwacho na kuzawadiwa majini na mapepo. Au je, majini na mapepo ya wale wanaomchukia (kama wapo kweli - mini siamini isipokuwa kama wanao ugomvi naye na wana hakika anawadhulumu) yanatumwa na Mwingira kwao? Kama ndivyo anavyowafundisha, basi poleni sana.

Bwana Yesu alishasema, "... usiseme zaidi ya ukweli unaoujua. Ndiyo na iwe ndiyo, hapana na iwe hapana, lililo zaidi ya hapo linatoka kwao walio waovu....." Mwenye masikio na ayasikie hayo kwa sikio la ndani.
 
huyu inatakiwa ajifunze kwa Kakobe

ww Rejao, nenda TANESCO au wizara ya Ngeleja kisha muulize umeme aliulazimisha upite kwa Kakobe unawaka. Pia muulize kwanini hajazindua hadi leo wakati alituambia atazindua mwezi wa nne, mara wa tano mara wa kumi mara desemba 2011. muulize tattizo liko wapi

Majibu watakayokupa watakufundisha kutowatukana watumishi wa Mungu, usipotubu utaangamia,

Kakobe siyo sawa na mchungaji wako mlevi na mzinzi mnayepigana vikumbo mtaani mkigombea wanawake

Nimemsikiliza Kakobe na nimeshaenda kanisani kwake m,ara kadhaa na hao wengine nilienda kwao kipindi kile wanamsema vibaya, niligundua tofauiti ya wazi kuwa Kakobe anahubiri kweli ambayo inawagusa hata wenzake wanaohubiri uongo ndio maana kila mara wanatafuta kumuua bila mafanikio.

mm ni mtafiti sipendi kuambiwa, fanya utafiti na ww utajua zaidi ya haya ninayoyaeleza
 
Manabii wa ukweli hawa hapa:

" Na tukamtunukia ( Ibrahim A.S) Is'haq na Yaakub. Kila mmoja wao tulimuongoa, na Nuhu (Noah A.S) tulimuongoa kabla. Na katika kizazi chake tulimuongoa Daud na Suleiman, na Ayub na Yussuf, Mussa na Harun. Na hivi ndivyo tunavyo walipa wanyao mema". Quran: Al An'am 84.
" Na Zakariya na Yahaya (Yohana Mbatizaji), Issah (Yesu) Iilyas (Eliya). Wote walikuwa miongoni mwa watu wema" Quran: Al An'am 85.
" Na Ismail na Al Yaasa, na Yunus ( Yonah/Jonah) na Lut. Na Wote walikuwa ni miongoni mwa watu wema" Quran: Al An'am 86.

" Hao ndio tuliowapa Vitabu na Hukumu na Unabii." Quran: Al An'am 89

Wajinga ndio waliwao !!!!

Bila mtu kutubu dhmbi zake na kuokolewa kwa kuamini kazi ya Yesu Kristo aliyoifanya pale juu msalabani alipomwaga damu yake kwa ajili ya dhambi zetu hataokoka. Akitubu na kuamini kazi ya Yesi Kristo ataokoka.

mapapa na mapadri wengi hawajaokoka, ndio maana wanafanya ulawiti, uzinzi, uasherati na wengine wamezaa na wanawake wengi mtaani. Hata pete zao hazina tofauti na pete za waganga wa kienyeji na wachawi. Mapapa na mapadri wengi walevi wa kawaida na hakuna asiyejua hilo, sasa jiulize, je Mungu wao aliyewatuma naye ni mlevi? Kama wanadai wametumwa na Yesu Kristo waache ulevi, kwani Yesu hakuwa mlevi wala hakuna na tabia zao chafu.

Yesu Kristo ni njia pekee ya kweli na uzima ambapo pasipo yeye hakuna mtu atakayeingia mbinguni.

Mapapa na mapdri natoa wito muoe, wnawake wameumbwa kwa ajili ya kuolewa na wanaume kamili kama ninyi, oeni mke mmoja kila mtu ili mfurahie maisha ya duniani pasipo kulaumiwa

mm napita
 
Efatha inafuata biblia (Neno la MUNGU)
mawigi anakataza, ingawa watu wanavaa kwa utashi wao na biblia haijakataza wigi labda wewe uniambie ni wapi? Kuhusu mavazi biblia inasema wanaume wasivae mavazi ya kike na vice versa, kwa habari ya suruali kuna suruali za kike ambazo mwanaume huwezi kuvaa unless unataka kuwa kituko; nazo ni za wanawake ndizo wanazo vaa, pia haiishii kwenya mavazi tu, yale mambo yampasayo mwanamke hupaswi mwanaume kuyafanya mfano ku-assume responsibilities za mwanamke kwa matendo kama ushoga n,k hiyo ndio kuvaa vazi la kike (kama ilihisi ni mavazi ya nguo tu pekee yakupasa kumwalika roho wa Mungu pindi unapo tafakari neno akusaidie).
kuvaa ni choice ya mtu, kila mmoja anavaa vile anona anapendeza.
kwa upande mwingine mwanamke hapaswi kuvaa vazi la kiume, yaani vazi (nguo) na ku-assume resposnibilities za mwanamume (lesbians).
sijakuelewa hapo kwenye vazi la kikahaba, unamaanisha nini? Je ulisha wahi kuja Efatha mwenge ukamkuta mwanamke yuko uchi kama kahaba wanavyo vaa? Sema ukweli na Mungu wake aweshahidi....

MAJIBU
Hilo andiko liko katika kumbukumbu la torati 24.15 kama sikosei, sina Biblia hapa inaeleza wazi kuwa mwanamke haruhusiwi kuvaa mavazi ya mwanaume na pia mwanaume hatakiwi kuvaa mavazi ya kike. Tena kuna andiko katika vitabu vya warumi, yeremia ambayo yanaeleza bayana kuwa je ww uliyefinyangwa unawezaje kumwambia aliyekufinyanga amekufinyanga vibaya au hana ufahamu, kisha linaeleza kuwa kufanya hivyo ni chukizo mbele za Mungu.

Sasa tutumie akili ya kawaida, unapovaa wigi- haumwambii Mungu kuwa alikosea kukufinyanga hivyo bali alitakiwa kukupatia nywele kama za wigi? je Yesu angekuwepo au Mungu mwenyewe anaweza kufanya hayo unayotaka? je dhamiri yako inasemaje/ inakushuhudiaje?

pili, akili ya kawaida, katika kitabu cha wakorintho kuna sehemu moja inatuagiza kutumia akili na pia sehemu nyingine inasema maumbile yetu yatufundishe jinsi inavyotupasa kuwa, sasa je kama ww mwanamke ukivaa suruali ukabanwa na haja ndogo unaweza kujisaidai kwa uhuru kama ilivyo kwa wanaume, jibu ni hapana. lakini kwa mwanmke aliyevaa sketi/gauni anaweza akachuchumaa chini kama anaandika kitu kumbe anapata haja yake kwa raha kabisa bila hata watu kujua. hIVYO, wanwake kuvaa suruali ni chukizo mbele na tambua kuanzia leo kuwa hakuna suruali za kike ile nio mbinu ya shetani kuwadhalilisha wanawake na utu wao huku wakimchukiza Mungu

Andiko lingine linasema ni chukizo kwa Mungu kumkwaza ndugu, ss angalia mwanamke akivaa suruali, haiwezi kukaa kama inavyoweza kukaa suruali kwa mwanaume, sehemu ya mbele hukaa vibaya kiasi kwamba mtu akiangalia anaweza kuona hata kiungo chake cha siri kilivyokaa, na akiangalia nyuma ndo usiseme, sasa hapa huoni hilo vazi sio la wanawake. mith 7 10 yako mavazi ya kikahaba hilo la suruali kwa wanawake ni moja ya vazi la kikahahaba kwani huonyesha jinsi umbile zima la mwanamke jinsi lilivyo na kutangaza kwa watu wanaoptaka bidhaa hiyo wainunue.

Mwanamke acha kujitetea yako maandiko mengi, ningekuwa na Biblia ningekujazia kurasa usome mpaka uchoke,KILA AVAAYE SURUALI AU MAWIGI au au heleni au mikufu au pete hana tofauti na mchawi na ni machukizo mbele za Mungu. Ukitaka soma pia Mungu alipokuwa anataka kuongea na Waisraeli alimwagiza Musa nini kifanyike ili aonane na wana wa Israeli walipokuwa wanaelekea kanaani, aliwaambia hata mapambo ya kikahaba yawaondoe katika miili yao

mwingira kama anakataza watu kuvaa mawigi na wanavaa mm namshauri awafukuze kanisani kwani wanamletea mashetani na kuichafua nyumba ya Mungu na jina lake kama ww.
Kumbuka kinyonge hakitaingia katika ufalme wa Mungu, acha ukahaba ili upate kupona
 
MAJIBU
MAANDIKO YA KUKATAZA WANAWAKE KUVAA SURUALI/MAVAZI YAWAPASAYO WANAUME NA WANAUME KUTOVAA MAVAZI YA WANAWAKE.

Nafikiri anatumia ule mstari wa Biblia"BWANA akiwa upande wetu ni nani aliyejuu yetu" but awe makini maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa BWANA.So anapaswa kuitii.
 
Yani hapo wanaume wanapojihalalishia kuwa suruali ni za wanaume peke yao na kunukuu biblia ndio huwa siwaelewi.Sijui ni nani alisema suruali ni za wanaume???????
 
Back
Top Bottom