Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

Mkuu kwani hujui mambo ya chadema?

Kwanza walikataa kutambua matokeo ya urais wakaaminisha wafuasi wao kwamba hawatateua wabunge wa viti maakumu.

Ila baadae kina Mbowe na Mnyika wakapeleka majina kinyemela ila wakawazuga wafuasi kwamba wamejiteua.

Na ukumbuke sain inayoenda kwa msajili na spika ni ya katibu tu siyo ya kamati nzima.
Kamati kuu lazima ipitishe majina, Mbowe au Mnyika hawaruhusiwi kufanya chochote bila vikao vya chama.

Chama ni wanachama sio Mbowe au Mnyika, ndio maana baraza kuu limewatimua so Kama Mbowe au Mnyika walishiriki wataenda na maji tu maana CHADEMA HAIJAWAHI KUPELEKA VITI MAALUM.
 
Sidhani kama akidi ilitimia kwa haraka na mhemko wa njama za kusitisha ugali wa kina Halima na kuuhamishia kwa michepuko kina Joyce!!

Hivi Chadema wanakula ruzuku za COVID 19? nani anajua hilo?
Baraza kuu limefanyika miaka 2 toka wafukuzwe kivipi wamekurupuka?

Hivi CHADEMA ingeamua peleka Viti Maalum Mwenyekiti wa BAWACHA Mdee angeachwa??

Kwani mara ya Kwanza Mdee anapewa viti maalum 2005 huyo Joyce hakuwepo kwani? Mbona waliachwa wote akapewa Mdee ambaye hakua anajulikana Wala hakua na mahusiano na Mbowe?

Acheni kutafuta huruma, Mdee kakikosea heshima chama kisa tamaa zake na 2025 ndio amejizika kisiasa rasmi.
 
Hamna shida na ubunge wao? Mbona kila siku mpo mahakamani kuweka mapingamizi?

Nani anajua ya 2025?? Au ww umajihakikishia utakuwepo?
Sitakuwepo lakini political career ya Mdee sijui Matiko ndio imefika hapo huhitaji kuwa hai kuliona Hilo.

Tunapenda mahakamani sababu wamefungua kesi wao ila sie tulishamalizana nao. In fact wakishinda kesi Baraza kuu litaitwa upya na watatimuliwa upya so hakuna namna watakuwa wanachama kwa lazima.
 
nikuulize swali dogo naomba ujibu kila JF, jibu objectively usiweke ushabiki

Je COVID 19 wasingekuwa wabunge kuna mtu yoyote Chadema angehangaika kuwavua uanachama? unao mfano wa mtu alievuliwa uanachama na sababu zake? these two things are connected mkuu!

Yaani in short viongozi Chadema wana majina yao wanataka kupeleka bungeni kwa maslahi ya kipesa au mapenzi kina Joyce wa Miwani Makengeza bin Mmbowe, Halima mtoto wa mjini she has outsmarted them!
1. Bila ubunge wangevuliwa tu, Shonza, Mwampamba,Edo Makata, Habib Mchange etc walitimuliwa 2013 sababu ya kuhujumu chama lakini walikua sio wabunge Bali viongozi wa BAVICHA. Hata 2015 CHADEMA ilitimua uongozi mzima wa chama Kule Songea baada ya hujuma kwenye uchaguzi mkuu. Hata mwaka huu CHASO karibu uongozi mzima ulivuliwa uanachama hapa Dar Es Salaam ingawa sio wabunge.

2. Hii hoja ya kipuuzi sana, kwamba kwenye viti 20 Mdee angeachwa? By default uongozi wa BAWACHA huwa wanakua first pick so Mdee, Kafulila, Tendega,Kunti,Mwaifunga n.k wangekua tu wabunge if at all CHADEMA ingepeleka majina.

3. Kama hoja ni upendeleo jiulize kipindi Mdee anakua mbunge nani aliyemjua hadi akapewa viti maalum 2005? Kipindi Makamba na Tendega wanapewa viti maalum walikua wanafahamika? Mbona walipewa ila mwaka huu ndio mnadai kungekua na upendeleo??

Na ambacho hufahamu Agnesta ni mke wa Kigaila (Naibu Katibu Mkuu) na Matiko ni mke wa Salum Mwalimu (Naibu Katibu Mkuu) so kama hoja ni kuepuka upendeleo mbona Mdee ameteua wake za viongozi wa chama? Au angefanya Mbowe ndio ingekua upendeleo ila alifanya Mdee ni ukombozi??
 
#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx

==========

Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.

Mahakama hiyo imetoa ruhusa hiyo kwa kina Mdee leo Ijumaa Julai 8, 2022, baada ya kukubaliana na hoja za maombi yao ya ridhaa ya kufungua shauri hilo la kupinga kuvuliwa uanachama.

Maombi hayo ya kina Mdee yalisikilizwa na Jaji Mustapha Ismail Juni 30 mwaka huu na CHADEMA kupitia kwa jopo la mawakili wao linaloongozwa na Peter Kibatala, walipinga hoja za mawakili wa kina Mdee kuwa hazikidhi matakwa ya kisheria kupewa ruhusa hiyo

Hata hivyo Jaji Ismail katika uamuzi wake leo amekubaliana na vigezo na hoja zote za kina Mdee, zilizowasilishwa na mawakili wao, Ipilinga Panya, Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu na Emmanuel Ukashu.

Kwa uamuzi huo sasa kina Mdee wanatakiwa kufungua shauri lao hilo ndani ya siku 14 kuanzia leo.

KESI hii inatumika sana kuhamishia watu Kujadili ajenda muhimu za kitaifa, Watanzania kuweni macho TUIPUUZE.

Kila mafuta yakipanda utackia move flan kwenye KESI ya COVID,

Ajali ya treni ilipotokea KESI ilihamisha hoja, Vile vile Katiba mpya, inaibuka KESI.

Hadi sasa hayupo aliyejibu HOJA kwann Bei zimepanda mzigo wa mafuta Ukiwa njiani?

Kwann Bei ipande wakati bil 100 imekopwa kupunguza mfumuko?

Kama Ruzuku imeshindwa kupunguza Bei je yalikuwa maamuzi sahihi Kutoa ruzuku?

Hiyo Bil 100 ya ruzuku inaingia mfuko wa nani? maana Kuna TETESI wanapewa waagizaji wa mafuta Eti wafidie hasara.
 
ID zote humu ni feki. Kwa nini Halima Mdee ndio aweke id yake ya ukweli?

Anyhow... mimi swali langu ni moja: ukipigiwa simu na Tume ya Uchaguzi au na Katibu wa Bunge au na Afisa Mawasiliano wa Ikulu ukaambiwa karipoti kesho Dodoma, umeteuliwa na chama chako au na Rais kuwa mbunge.

Utaondoka kuelekea Dodoma au utaanza kuhoji hicho kikao dondoo zake kasaini nani, nyinyi Tume nani kawapa taarifa, na huyo Rais alijadili huo uteuzi na washauri wake lini saa ngapi?
Nikuambie tu kuwa Mbowe mwenyewe anajua Kilichofanyika japo ANAZUGA kuonyesha uma kuwa eti HAJUI LOLOTE. Hata Mnyika anajua.
Na hii ngoma itakwenda KISANII HIVIHIVI HADI 2025.

Hata ingekuwa ni Mimi Mwenyekiti wa Chama nisingeacha nafasi hizo pekee zilizokuwa zimebaki kwa faida binafsi kwa kina Mdee na Uongozi wa Chama. KWAHIYO NYIE ENDELEZENI TU MIHEMKO WAKATI WENYEWE KINA MBOWE, MNYIKA..... WALISHAYAJENGA. WANAWAANGALIA TU
 
#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx

==========

Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.

Mahakama hiyo imetoa ruhusa hiyo kwa kina Mdee leo Ijumaa Julai 8, 2022, baada ya kukubaliana na hoja za maombi yao ya ridhaa ya kufungua shauri hilo la kupinga kuvuliwa uanachama.

Maombi hayo ya kina Mdee yalisikilizwa na Jaji Mustapha Ismail Juni 30 mwaka huu na CHADEMA kupitia kwa jopo la mawakili wao linaloongozwa na Peter Kibatala, walipinga hoja za mawakili wa kina Mdee kuwa hazikidhi matakwa ya kisheria kupewa ruhusa hiyo

Hata hivyo Jaji Ismail katika uamuzi wake leo amekubaliana na vigezo na hoja zote za kina Mdee, zilizowasilishwa na mawakili wao, Ipilinga Panya, Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu na Emmanuel Ukashu.

Kwa uamuzi huo sasa kina Mdee wanatakiwa kufungua shauri lao hilo ndani ya siku 14 kuanzia leo.

KUMBE MSTAAFU B. MKAPA AMEWAHI KUSHTAKIWA AKIWA MADARAKANI.

Nimesikiliza mahojiano ya DR Slaa U-Tube ktk uzinduzi wa Kitabu chake.

Anasema aliwahi kupokea Barua iliyosainiwa na Mkuu wa Nchi wakati huo B.Mkapa akielekeza Halmashauri ya KARATU ifutwe within 90 days.

Dr Slaa aliwasiliana na Dr Mvungi rafiki yake kuomba msaada wa kisheria Ili kuzuia kufutwa Kwa KARATU halmashauri.

Dr Mvungi alimwambia inawezekana kumshtaki Kwa kuwa Mkapa alisaini kama waziri kupitia Ofisi ya Tamisemi.

Walifile case mahakamani na Yale maelekezo yaliyeyuka.

Hivi sasa tuna mawakili wengi na wabobezi bt nahisi wanakosa Ujasiri wa kutafuta namna ya kuvishtaki vyombo vifuatavyo ambavyo KIKATIBA havishtakiki Ili kumaliza case hii KIVULI.

Itafutwe namna ya kuvishtaki:
1. NEC.

2.Spika wa Bunge.

3.Mamlaka KIVULI zilizojificha nyuma ya sakata hili linaloaibisha KATIBA ya Nchi.

Nashauri Lisu arejee nchini, akae na wabobezi wengine wa Sheria jambo hili liishe maana limechosha kulisikia. Amen
 
#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx

==========

Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.

Mahakama hiyo imetoa ruhusa hiyo kwa kina Mdee leo Ijumaa Julai 8, 2022, baada ya kukubaliana na hoja za maombi yao ya ridhaa ya kufungua shauri hilo la kupinga kuvuliwa uanachama.

Maombi hayo ya kina Mdee yalisikilizwa na Jaji Mustapha Ismail Juni 30 mwaka huu na CHADEMA kupitia kwa jopo la mawakili wao linaloongozwa na Peter Kibatala, walipinga hoja za mawakili wa kina Mdee kuwa hazikidhi matakwa ya kisheria kupewa ruhusa hiyo

Hata hivyo Jaji Ismail katika uamuzi wake leo amekubaliana na vigezo na hoja zote za kina Mdee, zilizowasilishwa na mawakili wao, Ipilinga Panya, Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu na Emmanuel Ukashu.

Kwa uamuzi huo sasa kina Mdee wanatakiwa kufungua shauri lao hilo ndani ya siku 14 kuanzia leo.

Erythrocyte soma hiyo!! hadi 2025
 
Hii kesi wala isiwaumize Watu vichwa hawa wakina Halina wao wapo kwa Mûjibu wa taratibu zinazo simamiwa na serkali kwa manufaa ambayo serkali ndiyo inayojua kwa hiyo hakuna mtu yoyote atakaye kwenda kinyume na interest za serikali. Kwa hiyo wakina Halina wanajua hata wakishinda mchakato utarudishwa CHADEMA ili uanze upya tena kuwafukuza sasa sijui kwa Upande wa CHADEMA.mchakato utaanzia kamati kuu au Baraza kuu mpaka michakato yote hiyo iishie 2025 itakuwa tayari wanarudi CHADEMA wanaomba Radhi mambo yanaisha.Mimi ninavyo jua hapo hakuna hata mmoja atakaye Enda CCM.na hivyo viti ni halali yao ila tu havikuhalalishwa na Chama.Mimi ni washauri .CHADEMA Mda unakwenda sana , hawa wakina Halima nikweli walikengeuka.Na wanashirikiana na Watesi wao.CHADEMA wapitishe Azimio wao wasiudhurie hii Kesi hukumu itolewe upande mmoja. Kisha wawaache kama walivyo.
 
Chadema msipoteze muda na hawa..
Fanyeni mengine..
2025 ndio mwisho wao hapo wananchi watawafungulia kesi kulipa pesa yooooote

Songeni mbele mahakama zipo kwenye kidole cha mtu

Zingatieni
Assumptions zinawaponza ‘ oh ubunge kwishney sijui kwa nini wagumu kujifunza
Mlisema mnampeleka lowassa mahakamani, akageuka kuwa shujaa wenu na raisi wenu wa mioyo.
Mmasema mnampeleka jk mahakamani, mkabadili gia. Leo mnuwaza mdee?
 
Hii kesi wala isiwaumize Watu vichwa hawa wakina Halina wao wapo kwa Mûjibu wa taratibu zinazo simamiwa na serkali kwa manufaa ambayo serkali ndiyo inayojua kwa hiyo hakuna mtu yoyote atakaye kwenda kinyume na interest za serikali. Kwa hiyo wakina Halina wanajua hata wakishinda mchakato utarudishwa CHADEMA ili uanze upya tena kuwafukuza sasa sijui kwa Upande wa CHADEMA.mchakato utaanzia kamati kuu au Baraza kuu mpaka michakato yote hiyo iishie 2025 itakuwa tayari wanarudi CHADEMA wanaomba Radhi mambo yanaisha.Mimi ninavyo jua hapo hakuna hata mmoja atakaye Enda CCM.na hivyo viti ni halali yao ila tu havikuhalalishwa na Chama.Mimi ni washauri .CHADEMA Mda unakwenda sana , hawa wakina Halima nikweli walikengeuka.Na wanashirikiana na Watesi wao.CHADEMA wapitishe Azimio wao wasiudhurie hii Kesi hukumu itolewe upande mmoja. Kisha wawaache kama walivyo.
Ni mawazo yako ni mazuri.
Kila kona watabanwa washindwe ili tuone wataendelea kuwepo bungeni kwa sheria za nchi au huruma na maslahi ya wanaccm.
Wao wamependa pesa kuliko haki waachwe wauone mwisho wote. Automatically tayari ni wanaccm kamili na liko wazi.

Kwanza kuna taarifa za chini tayari wao ni kijani tayari.
 
good explanation
1. Bila ubunge wangevuliwa tu, Shonza, Mwampamba,Edo Makata, Habib Mchange etc walitimuliwa 2013 sababu ya kuhujumu chama lakini walikua sio wabunge Bali viongozi wa BAVICHA. Hata 2015 CHADEMA ilitimua uongozi mzima wa chama Kule Songea baada ya hujuma kwenye uchaguzi mkuu. Hata mwaka huu CHASO karibu uongozi mzima ulivuliwa uanachama hapa Dar Es Salaam ingawa sio wabunge.

2. Hii hoja ya kipuuzi sana, kwamba kwenye viti 20 Mdee angeachwa? By default uongozi wa BAWACHA huwa wanakua first pick so Mdee, Kafulila, Tendega,Kunti,Mwaifunga n.k wangekua tu wabunge if at all CHADEMA ingepeleka majina.

3. Kama hoja ni upendeleo jiulize kipindi Mdee anakua mbunge nani aliyemjua hadi akapewa viti maalum 2005? Kipindi Makamba na Tendega wanapewa viti maalum walikua wanafahamika? Mbona walipewa ila mwaka huu ndio mnadai kungekua na upendeleo??

Na ambacho hufahamu Agnesta ni mke wa Kigaila (Naibu Katibu Mkuu) na Matiko ni mke wa Salum Mwalimu (Naibu Katibu Mkuu) so kama hoja ni kuepuka upendeleo mbona Mdee ameteua wake za viongozi wa chama? Au angefanya Mbowe ndio ingekua upendeleo ila alifanya Mdee ni ukombozi??
 
Interesting. Kuna wakati mtu unashangaa tu vile CCM inavyohangaika kucheza shere na CHADEMA. Mara wanajipendekeza kwa Mbowe. Wanajipendekeza kwa kina Halima. Wamejipendekeza kwa Lissu. Wamezoa kina Lijualikali & co. What next?

Inawezekana ikitokea siku CHADEMA wakamtimua mtu mzito kama Lissu kwa kelele nyingi - kwa geresha tu, basi CCM watamkimbilia na ma-vieite na ofa kibao za cash, mijengo na post ya Waziri Mkuu au Naibu Waziri Mkuu!

Anyway, vyovyote vile wajue CHADEMA ni nguvu ya umma. Unaweza kuwanunua kina Mbowe, Halima, Lissu, Silinde, n.k. lakini hatimaye utakutana na people’s power pale pale na vile vile, whatever the name, whichever the faces.
Yaani we ni kipofu kabisa yaani bado unaina Kuna upinzani tz?
 
Back
Top Bottom