Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishinda kesi watabaki Chadema.Kwa hiyo wakishinda kesi wataenda chama gani
Kilikufaje wakati kwa mujibu wa NEC wagombea ubunge 2020 walizoa kura Million 2.5? Hizo kura ni mtaji tosha kuelekea 2025!!Mkuu kwa hiyo kufa kwa chama unataka mpaka kifutwe?
Kamati kuu lazima ipitishe majina, Mbowe au Mnyika hawaruhusiwi kufanya chochote bila vikao vya chama.Mkuu kwani hujui mambo ya chadema?
Kwanza walikataa kutambua matokeo ya urais wakaaminisha wafuasi wao kwamba hawatateua wabunge wa viti maakumu.
Ila baadae kina Mbowe na Mnyika wakapeleka majina kinyemela ila wakawazuga wafuasi kwamba wamejiteua.
Na ukumbuke sain inayoenda kwa msajili na spika ni ya katibu tu siyo ya kamati nzima.
Baraza kuu limefanyika miaka 2 toka wafukuzwe kivipi wamekurupuka?Sidhani kama akidi ilitimia kwa haraka na mhemko wa njama za kusitisha ugali wa kina Halima na kuuhamishia kwa michepuko kina Joyce!!
Hivi Chadema wanakula ruzuku za COVID 19? nani anajua hilo?
Sitakuwepo lakini political career ya Mdee sijui Matiko ndio imefika hapo huhitaji kuwa hai kuliona Hilo.Hamna shida na ubunge wao? Mbona kila siku mpo mahakamani kuweka mapingamizi?
Nani anajua ya 2025?? Au ww umajihakikishia utakuwepo?
1. Bila ubunge wangevuliwa tu, Shonza, Mwampamba,Edo Makata, Habib Mchange etc walitimuliwa 2013 sababu ya kuhujumu chama lakini walikua sio wabunge Bali viongozi wa BAVICHA. Hata 2015 CHADEMA ilitimua uongozi mzima wa chama Kule Songea baada ya hujuma kwenye uchaguzi mkuu. Hata mwaka huu CHASO karibu uongozi mzima ulivuliwa uanachama hapa Dar Es Salaam ingawa sio wabunge.nikuulize swali dogo naomba ujibu kila JF, jibu objectively usiweke ushabiki
Je COVID 19 wasingekuwa wabunge kuna mtu yoyote Chadema angehangaika kuwavua uanachama? unao mfano wa mtu alievuliwa uanachama na sababu zake? these two things are connected mkuu!
Yaani in short viongozi Chadema wana majina yao wanataka kupeleka bungeni kwa maslahi ya kipesa au mapenzi kina Joyce wa Miwani Makengeza bin Mmbowe, Halima mtoto wa mjini she has outsmarted them!
KESI hii inatumika sana kuhamishia watu Kujadili ajenda muhimu za kitaifa, Watanzania kuweni macho TUIPUUZE.#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx
==========
Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.
Mahakama hiyo imetoa ruhusa hiyo kwa kina Mdee leo Ijumaa Julai 8, 2022, baada ya kukubaliana na hoja za maombi yao ya ridhaa ya kufungua shauri hilo la kupinga kuvuliwa uanachama.
Maombi hayo ya kina Mdee yalisikilizwa na Jaji Mustapha Ismail Juni 30 mwaka huu na CHADEMA kupitia kwa jopo la mawakili wao linaloongozwa na Peter Kibatala, walipinga hoja za mawakili wa kina Mdee kuwa hazikidhi matakwa ya kisheria kupewa ruhusa hiyo
Hata hivyo Jaji Ismail katika uamuzi wake leo amekubaliana na vigezo na hoja zote za kina Mdee, zilizowasilishwa na mawakili wao, Ipilinga Panya, Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu na Emmanuel Ukashu.
Kwa uamuzi huo sasa kina Mdee wanatakiwa kufungua shauri lao hilo ndani ya siku 14 kuanzia leo.
Linatengenezwa ZENGWE waje wafanye Yale ya 30 na Mbatia NCCR.Wakishinda kesi watabaki Chadema.
Nikuambie tu kuwa Mbowe mwenyewe anajua Kilichofanyika japo ANAZUGA kuonyesha uma kuwa eti HAJUI LOLOTE. Hata Mnyika anajua.ID zote humu ni feki. Kwa nini Halima Mdee ndio aweke id yake ya ukweli?
Anyhow... mimi swali langu ni moja: ukipigiwa simu na Tume ya Uchaguzi au na Katibu wa Bunge au na Afisa Mawasiliano wa Ikulu ukaambiwa karipoti kesho Dodoma, umeteuliwa na chama chako au na Rais kuwa mbunge.
Utaondoka kuelekea Dodoma au utaanza kuhoji hicho kikao dondoo zake kasaini nani, nyinyi Tume nani kawapa taarifa, na huyo Rais alijadili huo uteuzi na washauri wake lini saa ngapi?
KUMBE MSTAAFU B. MKAPA AMEWAHI KUSHTAKIWA AKIWA MADARAKANI.#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx
==========
Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.
Mahakama hiyo imetoa ruhusa hiyo kwa kina Mdee leo Ijumaa Julai 8, 2022, baada ya kukubaliana na hoja za maombi yao ya ridhaa ya kufungua shauri hilo la kupinga kuvuliwa uanachama.
Maombi hayo ya kina Mdee yalisikilizwa na Jaji Mustapha Ismail Juni 30 mwaka huu na CHADEMA kupitia kwa jopo la mawakili wao linaloongozwa na Peter Kibatala, walipinga hoja za mawakili wa kina Mdee kuwa hazikidhi matakwa ya kisheria kupewa ruhusa hiyo
Hata hivyo Jaji Ismail katika uamuzi wake leo amekubaliana na vigezo na hoja zote za kina Mdee, zilizowasilishwa na mawakili wao, Ipilinga Panya, Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu na Emmanuel Ukashu.
Kwa uamuzi huo sasa kina Mdee wanatakiwa kufungua shauri lao hilo ndani ya siku 14 kuanzia leo.
Erythrocyte soma hiyo!! hadi 2025#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx
==========
Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.
Mahakama hiyo imetoa ruhusa hiyo kwa kina Mdee leo Ijumaa Julai 8, 2022, baada ya kukubaliana na hoja za maombi yao ya ridhaa ya kufungua shauri hilo la kupinga kuvuliwa uanachama.
Maombi hayo ya kina Mdee yalisikilizwa na Jaji Mustapha Ismail Juni 30 mwaka huu na CHADEMA kupitia kwa jopo la mawakili wao linaloongozwa na Peter Kibatala, walipinga hoja za mawakili wa kina Mdee kuwa hazikidhi matakwa ya kisheria kupewa ruhusa hiyo
Hata hivyo Jaji Ismail katika uamuzi wake leo amekubaliana na vigezo na hoja zote za kina Mdee, zilizowasilishwa na mawakili wao, Ipilinga Panya, Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu na Emmanuel Ukashu.
Kwa uamuzi huo sasa kina Mdee wanatakiwa kufungua shauri lao hilo ndani ya siku 14 kuanzia leo.
Hii kesi wala isiwaumize Watu vichwa hawa wakina Halina wao wapo kwa Mûjibu wa taratibu zinazo simamiwa na serkali kwa manufaa ambayo serkali ndiyo inayojua kwa hiyo hakuna mtu yoyote atakaye kwenda kinyume na interest za serikali. Kwa hiyo wakina Halina wanajua hata wakishinda mchakato utarudishwa CHADEMA ili uanze upya tena kuwafukuza sasa sijui kwa Upande wa CHADEMA.mchakato utaanzia kamati kuu au Baraza kuu mpaka michakato yote hiyo iishie 2025 itakuwa tayari wanarudi CHADEMA wanaomba Radhi mambo yanaisha.Mimi ninavyo jua hapo hakuna hata mmoja atakaye Enda CCM.na hivyo viti ni halali yao ila tu havikuhalalishwa na Chama.Mimi ni washauri .CHADEMA Mda unakwenda sana , hawa wakina Halima nikweli walikengeuka.Na wanashirikiana na Watesi wao.CHADEMA wapitishe Azimio wao wasiudhurie hii Kesi hukumu itolewe upande mmoja. Kisha wawaache kama walivyo.#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx
==========
Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama.
Mahakama hiyo imetoa ruhusa hiyo kwa kina Mdee leo Ijumaa Julai 8, 2022, baada ya kukubaliana na hoja za maombi yao ya ridhaa ya kufungua shauri hilo la kupinga kuvuliwa uanachama.
Maombi hayo ya kina Mdee yalisikilizwa na Jaji Mustapha Ismail Juni 30 mwaka huu na CHADEMA kupitia kwa jopo la mawakili wao linaloongozwa na Peter Kibatala, walipinga hoja za mawakili wa kina Mdee kuwa hazikidhi matakwa ya kisheria kupewa ruhusa hiyo
Hata hivyo Jaji Ismail katika uamuzi wake leo amekubaliana na vigezo na hoja zote za kina Mdee, zilizowasilishwa na mawakili wao, Ipilinga Panya, Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu na Emmanuel Ukashu.
Kwa uamuzi huo sasa kina Mdee wanatakiwa kufungua shauri lao hilo ndani ya siku 14 kuanzia leo.
Kmamayo WWMkuu,
Alitia saini ni Mnyika kwa ruhusa ya Mbowe!
Muulize Pasco Mayalla atakwambia!
Hiki chama kina upumbavu mwingi sana
Kila mwenye akiliHaya ni matamanio ya kila mwanaccm.
Mlisema mnampeleka lowassa mahakamani, akageuka kuwa shujaa wenu na raisi wenu wa mioyo.Chadema msipoteze muda na hawa..
Fanyeni mengine..
2025 ndio mwisho wao hapo wananchi watawafungulia kesi kulipa pesa yooooote
Songeni mbele mahakama zipo kwenye kidole cha mtu
Zingatieni
Assumptions zinawaponza ‘ oh ubunge kwishney sijui kwa nini wagumu kujifunza
Matusi hayasaidii bali ukweli umekufikiaKmamayo WW
Ni mawazo yako ni mazuri.Hii kesi wala isiwaumize Watu vichwa hawa wakina Halina wao wapo kwa Mûjibu wa taratibu zinazo simamiwa na serkali kwa manufaa ambayo serkali ndiyo inayojua kwa hiyo hakuna mtu yoyote atakaye kwenda kinyume na interest za serikali. Kwa hiyo wakina Halina wanajua hata wakishinda mchakato utarudishwa CHADEMA ili uanze upya tena kuwafukuza sasa sijui kwa Upande wa CHADEMA.mchakato utaanzia kamati kuu au Baraza kuu mpaka michakato yote hiyo iishie 2025 itakuwa tayari wanarudi CHADEMA wanaomba Radhi mambo yanaisha.Mimi ninavyo jua hapo hakuna hata mmoja atakaye Enda CCM.na hivyo viti ni halali yao ila tu havikuhalalishwa na Chama.Mimi ni washauri .CHADEMA Mda unakwenda sana , hawa wakina Halima nikweli walikengeuka.Na wanashirikiana na Watesi wao.CHADEMA wapitishe Azimio wao wasiudhurie hii Kesi hukumu itolewe upande mmoja. Kisha wawaache kama walivyo.
1. Bila ubunge wangevuliwa tu, Shonza, Mwampamba,Edo Makata, Habib Mchange etc walitimuliwa 2013 sababu ya kuhujumu chama lakini walikua sio wabunge Bali viongozi wa BAVICHA. Hata 2015 CHADEMA ilitimua uongozi mzima wa chama Kule Songea baada ya hujuma kwenye uchaguzi mkuu. Hata mwaka huu CHASO karibu uongozi mzima ulivuliwa uanachama hapa Dar Es Salaam ingawa sio wabunge.
2. Hii hoja ya kipuuzi sana, kwamba kwenye viti 20 Mdee angeachwa? By default uongozi wa BAWACHA huwa wanakua first pick so Mdee, Kafulila, Tendega,Kunti,Mwaifunga n.k wangekua tu wabunge if at all CHADEMA ingepeleka majina.
3. Kama hoja ni upendeleo jiulize kipindi Mdee anakua mbunge nani aliyemjua hadi akapewa viti maalum 2005? Kipindi Makamba na Tendega wanapewa viti maalum walikua wanafahamika? Mbona walipewa ila mwaka huu ndio mnadai kungekua na upendeleo??
Na ambacho hufahamu Agnesta ni mke wa Kigaila (Naibu Katibu Mkuu) na Matiko ni mke wa Salum Mwalimu (Naibu Katibu Mkuu) so kama hoja ni kuepuka upendeleo mbona Mdee ameteua wake za viongozi wa chama? Au angefanya Mbowe ndio ingekua upendeleo ila alifanya Mdee ni ukombozi??
Yaani we ni kipofu kabisa yaani bado unaina Kuna upinzani tz?Interesting. Kuna wakati mtu unashangaa tu vile CCM inavyohangaika kucheza shere na CHADEMA. Mara wanajipendekeza kwa Mbowe. Wanajipendekeza kwa kina Halima. Wamejipendekeza kwa Lissu. Wamezoa kina Lijualikali & co. What next?
Inawezekana ikitokea siku CHADEMA wakamtimua mtu mzito kama Lissu kwa kelele nyingi - kwa geresha tu, basi CCM watamkimbilia na ma-vieite na ofa kibao za cash, mijengo na post ya Waziri Mkuu au Naibu Waziri Mkuu!
Anyway, vyovyote vile wajue CHADEMA ni nguvu ya umma. Unaweza kuwanunua kina Mbowe, Halima, Lissu, Silinde, n.k. lakini hatimaye utakutana na people’s power pale pale na vile vile, whatever the name, whichever the faces.