GE2025 Mahakama Kuu kanda ya Dodoma yatupilia mbali mapingamizi ya Mch. Malisa dhidi ya Samia na Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.

Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.

Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
1755876045323.png
 
Watajuana wenyewe maana hakuna atakayekuletea mkate mezani usipoutafuta mwenyewe
 
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Screenshot 2025-08-22 182841.jpg
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.

Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.

CHANZO: NIPASHE
 
Hili mbona tulilijua mapema sana
 
Utawala uliobatilika, unamshtaki vipi Rais ambaye mahakama na vyombo vyote vya maamuzi na mahakama Rais ameshavidhibiti?

Tunaposema No Reforms No Election nafikiri kuna watu hawaelewi somo.
 
Back
Top Bottom