Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Kwani si kila mtu alijua hili? Nini cha ajabu hapo? Kwa sasa tanzania hakuna mahakama, kuna mahakama za ccm maalumu kwa ajili ya kuwanyamazisha wapinzani wa ccm,nothing new.
Ilikuwa lazima litupiliwe mbali maana hata CCM walijua hilo na ndio maana waliendelea na mchakato wao kama kawaida wakijua majibu. Ingekuwa chadema wangeaagizwa wasimamishe kila kitu hadi hukumu itakapotoka.Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.
Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
View attachment 3449079
the expected...takataka gani hilo lililotoa uamuziMahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.
Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
CHANZO: NIPASHE
Anaweza kurekebisha makosa hayo aka refile! (kama kweli makosa yapo. if struck out anywayMahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.
Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
CHANZO: NIPASHE
Kufungua shauri bila kufuata sheria ni kutaka kujionesha tu mahakamani kwamba na wakili huyo yupo TanzaniaMahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.
Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
View attachment 3449079
Yes, ngoja tuweke precedents za kuja kuwaface hao shyster judgesHuyu Malisa yawezekana alikuwa anacheza drama tu nao CCM,, kuna mahojiano yake yako YouTube anaongea kama ndo kaingia Tanganyika leo..
Yaani ukaishitaki CCM kwenye Mahakama ndani ya Tanganyika, halafu mmoja wa wahusika ni Mwenyekiti ambaye ni Rais..