GE2025 Mahakama Kuu kanda ya Dodoma yatupilia mbali mapingamizi ya Mch. Malisa dhidi ya Samia na Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.

Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.

Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
View attachment 3449079

Off course tulitegemea hayo maamuzi. Kesi kama hizo kwa sasa ni kwa ajili ya Chadema peke yake.
 
Hapa bongo serikali ndio kila kitu, mihimili ya nchi ile tulisoma kujibu maswali kwenye mitihani tu, lakini hakuna mihimili...
 
Mahakama au viongozi wa mahakama, Kiufupi watu wanaofanya kazi chini ya mahakama hawawezi kuwa upande wako hata siku moja hata kama mahakama ipo upande wako kihaki.

Hii ndo nchi ya Boflo.
 
kwann hakundika Kwa Katibu mkuu akiandika Kwa mwenyekiti anamsongo wa mawazo wanasheria nchini nao wajinga kwann hawakusoma katiba ya chama ili washauri

ngoja tusubirie mana Kuna mwingine Toka mwanza huko kuandika Kwa Katibu mkuu nayeye watamwambia alitakiwa aandike Kwa mwenyekiti au masajili wawe makini
 
Mimi hata Rais awe Polepole au Lissu bado hawezi niletea mkate mezani nisipoutafuta mwenyewe.

Hivyo jukumu la kukomboa Taifa ni letu sote na wewe ukiwemo
Mkuu siyo wajibu wa kiongozi kukuletea mkate mezani. Siku zote mwananchi ndiye mwenye wajibu wa kutafuta mkate wake na familia yake. la kiongozi ana wajibu wa kurahisisha ufuatiliaji wa mkate wa raia wake.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.

Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.

Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
View attachment 3449079
As expected
 
CHANZO: NIPASHE
Asinge hangaika hata, inajulikana ni maelekezo
 
Je sababu ni dua za maza ama!
 
Hizi mahakama zipelekee kesi dhidi ya CHADEMA tu. Hata kama ni ya kipumbavu namna gani itafanywa kuwa nightmare kwa mlalamikiwa kwa mwaka mzima. Kangaroo courts at best!
 
Msiwadharau wanaoitafuta haki kwa njia stahiki za kisheria. Kwa maana wasiotii sheria wakiitafuta haki kwa namna yao ustawi wa jamii na utulivu utawekwa rehani.

Hii ni utomvu wa nidhamu katika uongozi na kukosa uhalali kwa wanainchi ndio maana haya yanatokea.

Ni vema kuheshimu mifumo ya haki bila kuibaka.
 
Back
Top Bottom