The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.
Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
View attachment 3449079
Nini? Mkate utaufuata na kuupata kama nchi ina viongozi wa hovyo?Watajuana wenyewe maana hakuna atakayekuletea mkate mezani usipoutafuta mwenyewe
Kama unaunga mkono haki basi wewe ni mwanaharakati wa level ya chini. Tatizo watanzania wengi wamedanganywa kuwa kuwa mwanaharakati ni kosa.Mimi siyo mwanaharakati bali ninaunga mkono upande wa HAKI.
Mkuu siyo wajibu wa kiongozi kukuletea mkate mezani. Siku zote mwananchi ndiye mwenye wajibu wa kutafuta mkate wake na familia yake. la kiongozi ana wajibu wa kurahisisha ufuatiliaji wa mkate wa raia wake.Mimi hata Rais awe Polepole au Lissu bado hawezi niletea mkate mezani nisipoutafuta mwenyewe.
Hivyo jukumu la kukomboa Taifa ni letu sote na wewe ukiwemo
hizi akili, za namna hii zimetuchelewesha sana, yaani ...Watajuana wenyewe maana hakuna atakayekuletea mkate mezani usipoutafuta mwenyewe
Wewe umeshachukua hatua zipi hadi sasa?hizi akili, za namna hii zimetuchelewesha sana, yaani ...
As expectedMahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.
Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
View attachment 3449079
Asinge hangaika hata, inajulikana ni maelekezoMahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.
Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
CHANZO: NIPASHE
NoMimi siyo mwanaharakati bali ninaunga mkono upande wa HAKI.
Je sababu ni dua za maza ama!Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.
Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
View attachment 3449079
Hizi mahakama zipelekee kesi dhidi ya CHADEMA tu. Hata kama ni ya kipumbavu namna gani itafanywa kuwa nightmare kwa mlalamikiwa kwa mwaka mzima. Kangaroo courts at best!Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Uamuzi huo umetolewa kufuatia mapingamizi yaliyowasilishwa na mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, waliodai kuwa hatua za kufungua shauri hilo hazikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wao, mlalamikaji alipaswa kuwasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama na si Mwenyekiti.
Awali, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amedai kuwa taratibu zilizingatiwa, akieleza kuwa mnamo Februari 2025, Dk. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akipinga uteuzi wake kupitia CCM.
Baada ya pande zote kusikilizwa, shauri hilo liliahirishwa hadi leo, ambapo Mahakama Kuu imetupilia mbali malalamiko ya Dk. Malisa na kuyakubaliana na mapingamizi yaliyowasilishwa na CCM.
View attachment 3449079
kitendo cha kutokufanana na wewe kimtazamo tayari hiyo ni hatua. Nyingine zinaendelea.Wewe umeshachukua hatua zipi hadi sasa?