GE2025 Mahakama Kuu kanda ya Dodoma yatupilia mbali mapingamizi ya Mch. Malisa dhidi ya Samia na Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani si kila mtu alijua hili? Nini cha ajabu hapo? Kwa sasa tanzania hakuna mahakama, kuna mahakama za ccm maalumu kwa ajili ya kuwanyamazisha wapinzani wa ccm,nothing new.
 
Ilikuwa lazima litupiliwe mbali maana hata CCM walijua hilo na ndio maana waliendelea na mchakato wao kama kawaida wakijua majibu. Ingekuwa chadema wangeaagizwa wasimamishe kila kitu hadi hukumu itakapotoka.
 
Huyu Malisa yawezekana alikuwa anacheza drama tu nao CCM,, kuna mahojiano yake yako YouTube anaongea kama ndo kaingia Tanganyika leo..
Yaani ukaishitaki CCM kwenye Mahakama ndani ya Tanganyika, halafu mmoja wa wahusika ni Mwenyekiti ambaye ni Rais..
 
the expected...takataka gani hilo lililotoa uamuzi
 
Anaweza kurekebisha makosa hayo aka refile! (kama kweli makosa yapo. if struck out anyway
 
Kufungua shauri bila kufuata sheria ni kutaka kujionesha tu mahakamani kwamba na wakili huyo yupo Tanzania
 
Ni uamuzi ambao haiwezi kumshtua yeyote. Yaani utegemee hao majaji shetani walioingizwa mahakamani na CCM kwa lengo la kulinda ushetani wa CCM, watoe hukumu tofauti na hiyo?
 
Huyu Malisa yawezekana alikuwa anacheza drama tu nao CCM,, kuna mahojiano yake yako YouTube anaongea kama ndo kaingia Tanganyika leo..
Yaani ukaishitaki CCM kwenye Mahakama ndani ya Tanganyika, halafu mmoja wa wahusika ni Mwenyekiti ambaye ni Rais..
Yes, ngoja tuweke precedents za kuja kuwaface hao shyster judges
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…