Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

Na hiki kiingereza changu cha form 4 D mbona kama tangazo halisemi hivyo 😀
 
Umeielewa hiyo hukumu? Unajua mlalamikaji alikuwa analilamikia nini?
Kabla ya kumuuliza huyo wewe umeelewa nini kuhusu hii statement,

“We (Judges) accordingly proceed to declare and hold that,……… the National Election Act, Cap, 343 ………… and the Local Government Elections, Act, Cap 292 are unconstitutional and therefore Null and Void”.
 
Na hiki kiingereza changu cha form 4 D mbona kama tangazo halisemi hivyo 😀
Mahakama kuu huwa inaangalia zaidi vifungu vya sheria vinavyokinzana na katiba kuu kama huvijui itakuwia ngumu sana kuitafsiri hukumu.
 
Na ndio ukweli mama anatengeneza yeye arudi kwenye urais wabunge wale tia maji tia maji ndio watakutana na changamoto.

2025 watachuana vikali baada ya hapo inatoka na katiba mpya
 
Kabla ya kumuuliza huyo wewe umeelewa nini kuhusu hii statement,

“We (Judges) accordingly proceed to declare and hold that,……… the National Election Act, Cap, 343 ………… and the Local Government Elections, Act, Cap 292 are unconstitutional and therefore Null and Void”.
Hizo sheria zinahusika nini na "Legacy"!
 
Uchaguzi wa Mwaka 2025 tutarajie bunge lenye wabunge wengi kutoka vyama vya upinzani ambao wanaweza kufikia hata 30% ya wabunge wote.
 
Hakuna bunge linalotunga sheria, bunge kazi yake kupitia tu.
Sheria hutungwa na Serikali
Usipotoshe ukweli. Sheria zinatungwa Bunge. Ninavyofahamu mimi ni kwamba Serikali inachofanya ni kupeleka miswada ya sheria bungeni na sio kutunga sheria.
 
Back
Top Bottom