Labda umesahau kwamba miongoni mwa hizo kesi ni pamoja na ile kesi ya "Samaki wa Magufuli" pamoja na kesi ya contractor wa barabara ambapo zote hizo zililetwa na JiweHakuna dhuluma ni dhama za kila mtu mwenye uwezo achukue anachoweza kuongoza,nchi sio kama familia hasa katika nchi yenye makabila 120 majaji wakiwemo ,ndio maana kesi zote tanzania ulizokuwa tunashtakiwa kimataifa kabla jpm tulishindwa lakini baada ya yeye kuja huo ujinga ulikoma na sasa umerudi kwa kasi.
Nchi ilikua inaongozwa na Matapeli tu! Mama anaupiga mwingi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa si ndio maana tunasema mi 10 tena kwa mama?Magufuli alivuka vipimo vyote vya binadamu katili. Historia itamkumbuka kama raisi wa hovyo na mshenzi kabisa aliyewahi kuhudumu kwenye nafasi hiyo nchini
Si ndio kama hivi anaendelea kutupa uhuru? Kwa hiyo mi 10 tena kwake hata milele sawa tuCCM imejaa Mashetani ila pia kuna Malaika wachache Mama ni mmojawapo atupe Tume HURU halafu aendelee kutawala
Nakuunga mkono. Maana kwa sasa hamsemi Mama atawale mpaka achoke mwenyewe kama ilivyokuwa mnataka iwe kwa jiwe.Sasa si ndio maana tunasema mi 10 tena kwa mama?
Kanisa katoliki linafanya vizuri Rais akiwa Muislam. Mfano Mwinyi Tanzania na Amhadou Adhijo Cameroun!Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
Nasema hivi ni Tume HURU ndio tunataka iamueSi ndio kama hivi anaendelea kutupa uhuru? Kwa hiyo mi 10 tena kwake hata milele sawa tu
Kabakiza mambo mawili tu nimpigie kura mwaka 2025Sasa si ndio maana tunasema mi 10 tena kwa mama?
Unaanza mambo yako? Hii hapana. 10 inatosha.. hata milele sawa tu
Hata milelel maana anatupeleka vizuri!Unaanza mambo yako? Hii hapana. 10 inatosha
Mataga wanazidi kuchanganywa tu.
Akimaliza 10 huku anaendelea kutawala vizuri tutawaambia ccm wamuongeze hadi atakapochoka!Nakuunga mkono. Maana kwa sasa hamsemi Mama atawale mpaka achoke mwenyewe kama ilivyokuwa mnataka iwe kwa jiwe.
RPC alikuwa Jumanne Muliro sasa hivi ni Mkuu wa Polisi Kanda maalum DarUshindi mkubwa huu
Tunataka sasa waliohusika na kifo cha Akwilina kesi ianze mara moja wakamatwe
Polisi waliomuua wapo kazini wanadunda tu
... yule mwendawazimu alikuwa analazimisha kutupeleka siko! Alaaniwe milele!
Legacy inayolindwa kwa mtutu wa bunduki
Ni kweli, Wakristo hatusomi vizuri Biblia, na inasema hivi " Siyo kama kila anayetaja jina langu ni mfuasi wangu ".Mimi ni mkiristo lakini ninakubaliana na wewe. Ndiyo maana na Mungu anawapa maisha marefu. Mwinyi mzima anadunda, Kikwete naye yumo vizuri. Wezangu na mimi wote wameondoka ghafula ghafula. Nimejifunza jambo moja kwamba kutenda haki ni jambo jema na usipende kudhulumu watu vitu vyao.
Uliowataja wote hao Ni mashetaniTuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.