Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Hakuna dhuluma ni dhama za kila mtu mwenye uwezo achukue anachoweza kuongoza,nchi sio kama familia hasa katika nchi yenye makabila 120 majaji wakiwemo ,ndio maana kesi zote tanzania ulizokuwa tunashtakiwa kimataifa kabla jpm tulishindwa lakini baada ya yeye kuja huo ujinga ulikoma na sasa umerudi kwa kasi.
Labda umesahau kwamba miongoni mwa hizo kesi ni pamoja na ile kesi ya "Samaki wa Magufuli" pamoja na kesi ya contractor wa barabara ambapo zote hizo zililetwa na Jiwe
 
Huyu mama kwa mara ya kwanza nitampigia kura kupitia CCM mwaka 2025 baada ya kukamilisha tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.
 
Magufuli alivuka vipimo vyote vya binadamu katili. Historia itamkumbuka kama raisi wa hovyo na mshenzi kabisa aliyewahi kuhudumu kwenye nafasi hiyo nchini
Sasa si ndio maana tunasema mi 10 tena kwa mama?
 
CCM imejaa Mashetani ila pia kuna Malaika wachache Mama ni mmojawapo atupe Tume HURU halafu aendelee kutawala
Si ndio kama hivi anaendelea kutupa uhuru? Kwa hiyo mi 10 tena kwake hata milele sawa tu
 
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
Kanisa katoliki linafanya vizuri Rais akiwa Muislam. Mfano Mwinyi Tanzania na Amhadou Adhijo Cameroun!
 
Nakuunga mkono. Maana kwa sasa hamsemi Mama atawale mpaka achoke mwenyewe kama ilivyokuwa mnataka iwe kwa jiwe.
Akimaliza 10 huku anaendelea kutawala vizuri tutawaambia ccm wamuongeze hadi atakapochoka!

Ccm mbele kwa mbele
 
Ushindi mkubwa huu

Tunataka sasa waliohusika na kifo cha Akwilina kesi ianze mara moja wakamatwe

Polisi waliomuua wapo kazini wanadunda tu
RPC alikuwa Jumanne Muliro sasa hivi ni Mkuu wa Polisi Kanda maalum Dar
 
Mkuu umenifanya nimetoa machozi ya furaha na kicheko. Hakika na alaaniwe mwingine yoyote anayefanana naye hata kama hajazaliwa [emoji23] [emoji23]
... yule mwendawazimu alikuwa analazimisha kutupeleka siko! Alaaniwe milele!
 
Mimi ni mkiristo lakini ninakubaliana na wewe. Ndiyo maana na Mungu anawapa maisha marefu. Mwinyi mzima anadunda, Kikwete naye yumo vizuri. Wezangu na mimi wote wameondoka ghafula ghafula. Nimejifunza jambo moja kwamba kutenda haki ni jambo jema na usipende kudhulumu watu vitu vyao.
Ni kweli, Wakristo hatusomi vizuri Biblia, na inasema hivi " Siyo kama kila anayetaja jina langu ni mfuasi wangu ".
 
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
Uliowataja wote hao Ni mashetani
 
Back
Top Bottom