Usifurahie wenzio kuumia bali waombee wauone ukweli na wawe rational ktk fikra.Ninacho furahi ni kuyaona mataga yakizidi kuumia kila siku ya Mungu.
Hakika mama Samia ni Dr wa kweli wa kutibu madonda tuliyo wachiwa na push gang
Sasa hivi ni chereko kila konaHuyu Mungu huyu? akaweka rumande Freeman kipindi chote cha sikukuu za Christmas akijua fika hana kosa aisee haki haipotei kamwe
Kama wao waligurahia wenzao kukadamizwa kwanini mimi niwaonee huruma hao wanyama?Usifurahie wenzio kuumia bali waombee wauone ukweli na wawe rational ktk fikra.
Nafurahia sana ujio wa mama Samia maana nikipindi kigumu sana kwa MATAGA
PowerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrPepoooossssss
Defence Mechanism Imepoteana KwasasaNchi ilikua inaongozwa na Matapeli tu! Mama anaupiga mwingi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tupo wengi sana kiongozi tunao furahia huu ushindiNguvu ya umma ilionekana siku ile watu waluchanga pesa hadi usiku wa manane hadi mitandao ikapata jam..
Sio wapenda mabadiliko wa ndani ya nchi hata nje ya nchi walitoa michango yao bila kujali kipato!
Najivunia nilishiriki kuukataa udikteta uliosababisha majonzi na mateso kwa miaka 5
Kwani hapo katiba mpya inahusika vipi. Inaelekea wala huelewi katiba ni nini unashabikia kama kasuku. Hapo hukumu ilikatiwa rufaa kwenye mahakama huru ndio haki imepatikana sasa sijui unafikiri katiba mpya inahusikaje hapo.Halafu bado kuna watu wanasema katiba mpya si kipaumbele chao- Haya yaliyotokea katiba ikiboreshwa hayatakwepo tena
Period!Kabakiza mambo mawili tu nimpigie kura mwaka 2025
1. Tume huru ya uchaguzi
2. Katiba
Na huko alipo achomwe na moto mkali kabisa Bila huruma huyu shetaniNimeamini Mungu ni fundi hakosei aliona akituacha miaka 5 na jiwe nchi ingeumia sana, asante Mungu kwa zawadi uliyotupa.
Lisikieni hili limataga [emoji38][emoji38][emoji38]Heshima ya serikali inaendelea kushuka kwa kasi
Mkuu,kamwe na katu kinyesi hakipakwi kinyesi.Kwa nn sasa dikteta uchwara anazidi kupakwa kinyesi?
Huyu sasa ndiye wa kumuombea kweli kweli..... Mama ana kazi sio ya kitoto; kuirudisha nchi kwenye mstari sahihi wa utawala bora ana kibarua kigumu sana. Huyu sasa ndiye wa kumwombea kweli kweli Mungu amjalie afya ya mwili, hekima na busara za kuwaongoza watu wake. Kila atokapo, aingiapo, na kila atendalo likapate kibali toka Kiti cha Enzi.