Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Haya maisha bana ya ajabu sana Hiyo mipesa aliyokuwa anaiiba kwa nguvu ameaiacha kaenda na korodani zake tu ambazo kwa sasa zitakuwa zimeshatafunwa na funza
 
Fedha itarudishwa sawa, je Kama ingekuwa wametumikia kifungo wangelipwaje muda na madhila ya hayo mateso
 
Mahakama za juu Tanzania zimetuzidishia imani kiasi kwamba haki inafuatwa kwa sehemu, mfumo haujaoza kabisa.
 
Mama kweli ni Mama.. Mungu tunakushukuru sana sanaaa kutuletea Mama. Mama Samia uishi milele
 
Enyi Watanzania! Hatimaye Mungu kalikumbuka taifa lake Tena.

Tutakurudishia nini Eee Mwenyezi Mungu kwa fadhila hizi Jamani? Dah..

Mungu akupe maisha marefu mama yetu mpendwa Mhe. SSH.
 
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.

====
Taratibu tunarudi kwenye utawala wa sheria...... Hongera Mama yetu Samia!
 
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.

====
Kuna pesa ilitolewaga na ccm kwa mashinji na Peter msigwa ilitolewa na raisi hayat magufuli. Ile itakuwaje sasa
 
Nguvu ya umma ilionekana siku ile watu walichanga pesa hadi usiku wa manane hadi mitandao ikapata jam..

Sio wapenda mabadiliko wa ndani ya nchi hata nje ya nchi walitoa michango yao bila kujali kipato!

Najivunia nilishiriki kuukataa udikteta uliosababisha majonzi na mateso kwa miaka 5
Nikiukumbuka ule mtiti sina hamu, una cancel Lori la mchanga kuwasaidia wana watoke ndani .
 
Back
Top Bottom