Happy Islamic,Gambo Islamic,Kalisha mawowowo Christian lutheranAlly Hapi,Mrisho Gambo na Kasesele ni dini gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy Islamic,Gambo Islamic,Kalisha mawowowo Christian lutheranAlly Hapi,Mrisho Gambo na Kasesele ni dini gani?
Balaa tupuUliowataja wote hao Ni mashetani
Huyu mtu alitakiwa awe vegetable ili aone kila kitu na haezi kusema A wala B
Kalisha mawowowo ndio yupi tena?Happy Islamic,Gambo Islamic,Kalisha mawowowo Christian lutheran
Hiyo hela mpaka irejeshwe unafikiri ni leo ?Mbowe anaenda kutajirika maana alilipa milioni 70, hongera zake
Amina.Enyi Watanzania! Hatimaye Mungu kalikumbuka taifa lake Tena.
Tutakurudishia nini Eee Mwenyezi Mungu kwa fadhila hizi Jamani? Dah..
Mungu akupe maisha marefu mama yetu mpendwa Mhe. SSH.
Taratibu tunarudi kwenye utawala wa sheria...... Hongera Mama yetu Samia!Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.
====
Kuna pesa ilitolewaga na ccm kwa mashinji na Peter msigwa ilitolewa na raisi hayat magufuli. Ile itakuwaje sasaMahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.
====
Nikiukumbuka ule mtiti sina hamu, una cancel Lori la mchanga kuwasaidia wana watoke ndani .Nguvu ya umma ilionekana siku ile watu walichanga pesa hadi usiku wa manane hadi mitandao ikapata jam..
Sio wapenda mabadiliko wa ndani ya nchi hata nje ya nchi walitoa michango yao bila kujali kipato!
Najivunia nilishiriki kuukataa udikteta uliosababisha majonzi na mateso kwa miaka 5
Naam, maana yangu ilikuwa "serikali wailipe familia ya marehemu, sikuweka tu neno serikali"Anayetakiwa kuwalipa ni serikali ya Magufuli iliyemuua kupitia askari wake wa Police
Tena angezikwa na zege ya kujengea madaraja... yule mwendawazimu alikuwa analazimisha kutupeleka siko! Alaaniwe milele!