Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

SQUAD - IENDELEE FC

01-S - Goalkeeper

02-A - Right Fullback
03-M - Left Fullback
04-I - Center Back
05-A - Center Back

06-S - Defending Midfielder
07-U - Right Midfielder/Winger
08-L - Central Midfielder
09-U - Left Midfielder/Wingers

10-H - Attacking Midfielder
11-U - Striker

SUBSTITUTE
13 - H -
Goalkeeper
14 - A -
Center Back
15 - S -
Defending Midfielder
16 - S -
Attacking Midfielder
17 - A -
Striker
18 - N -
Striker

FORMATION
4-4-2

MATCH PLAYED - 100
WIN - 99
LOSE - 0
DRAW - 1(Vs WATUMISHI) -
ITARUDIWA 01-MAY-2022

CLUB CHAIRPERSON: HAKI
CEO: UWAJIBIKAJI
CLUB MANAGER: UTU
FANS: WAZALENDO



 
Ninacho furahi ni kuyaona mataga yakizidi kuumia kila siku ya Mungu.
Hakika mama Samia ni Dr wa kweli wa kutibu madonda tuliyo wachiwa na push gang
Usifurahie wenzio kuumia bali waombee wauone ukweli na wawe rational ktk fikra.
 
Nguvu ya umma ilionekana siku ile watu walichanga pesa hadi usiku wa manane hadi mitandao ikapata jam..

Sio wapenda mabadiliko wa ndani ya nchi hata nje ya nchi walitoa michango yao bila kujali kipato!

Najivunia nilishiriki kuukataa udikteta uliosababisha majonzi na mateso kwa miaka 5
 
Kwa hivyo watalipwa na fidia kwa usumbufu walioupata?
Bado sijaelewa dhumuni la kulipa faini v/s shauri la msingi....
Wanasheria ebu tuelimisheni kuhusu hili, ndio kusema hakukuwa na kesi ya kujibu au?
 
Lazima JMT itakata rufaa kwenye mahakama ya rufaa dhidi ya hukumu hii ya mahakama kuu. Huo ndiyo mchakato wa mahakama. Haujafika mwisho, bado unaendelea. Msifurahi sana kwa sasa hadi DPP atakaposema hana nia ya kuendelea na kesi hii aka nolle.
 
Nguvu ya umma ilionekana siku ile watu waluchanga pesa hadi usiku wa manane hadi mitandao ikapata jam..

Sio wapenda mabadiliko wa ndani ya nchi hata nje ya nchi walitoa michango yao bila kujali kipato!

Najivunia nilishiriki kuukataa udikteta uliosababisha majonzi na mateso kwa miaka 5
Tupo wengi sana kiongozi tunao furahia huu ushindi
 
Halafu bado kuna watu wanasema katiba mpya si kipaumbele chao- Haya yaliyotokea katiba ikiboreshwa hayatakwepo tena
Kwani hapo katiba mpya inahusika vipi. Inaelekea wala huelewi katiba ni nini unashabikia kama kasuku. Hapo hukumu ilikatiwa rufaa kwenye mahakama huru ndio haki imepatikana sasa sijui unafikiri katiba mpya inahusikaje hapo.
 
Nimeamini Mungu ni fundi hakosei aliona akituacha miaka 5 na jiwe nchi ingeumia sana, asante Mungu kwa zawadi uliyotupa.
Na huko alipo achomwe na moto mkali kabisa Bila huruma huyu shetani
 
.... Mama ana kazi sio ya kitoto; kuirudisha nchi kwenye mstari sahihi wa utawala bora ana kibarua kigumu sana. Huyu sasa ndiye wa kumwombea kweli kweli Mungu amjalie afya ya mwili, hekima na busara za kuwaongoza watu wake. Kila atokapo, aingiapo, na kila atendalo likapate kibali toka Kiti cha Enzi.
Huyu sasa ndiye wa kumuombea kweli kweli.
Amen
 
Back
Top Bottom