Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Nimetoka kumwambia hivi hivi kaka yangu ambaye anakutana na Mh. SSH muda huu huko Kurasini.
 
Utajuaje, je kama lilikuwa ni dili la yeue na mahakimu watuchangishe fedha na badaye tena wamrudishie?

sisi wananchi tunaona ni upigaji na wizi wa fedha za walala hoi

Pesa yangu naitaka aisee
We ni pimbi
 
Hakuna hela watakayopewa hao....trust me ...
 
Ee Mungu wa Majeshi umlinde Mama Samia Suluhu Hasan! Mpe nguvu na uwezo wa kuirejesha hii Nchi kwenye kile kisiwa cha amani.

Ninaanza kufunga kwa ajili hili!!!
 
Legacy yake imejaa maovu ya kutisha ikiwemo wizi wa trillions za walipa kodi, kudhulumu Wafanyabishara , Wakulima na Wafanyakazi, utekaji na mauaji ya kutisha, udikteta kujiona yeye anajua kila kitu hivyo kudharau Katiba, Raia, Bunge na Mahakama. Mwenyezi Mungu ni fundi sana pamoja na ulinzi wa yule dhalimu wa kutisha akafanya yake na kutuondolea Watanzania majanga mengi sana ya kutisha siku za usoni. Ahsante sana Mwenyezi Mungu. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

Legasi ya shujaa inazidi kuchafulliwa
 
Nyie hamna akili kabisa watu kama walikata rufaa unashangaaje kushinda ,na kwa mtindo huu mama anaokwenda nao kuna uwezekano ata acaccia watafungua kesi kudai fidia maana katika kuwapa watu haki kuna maslahi binafsi ya watu.
Kwahio we hutaki watu wapewe haki?
 
Kesi gani? Fala kweli wewe ,hatujalipa mabilioni baada ya ndege zetu kukamatwa wakati wa utawala wa dikteta jiwe
 
Amina,Mungu ni mwema kwa kutuondolea dhalimu ndani ya ardhi tukufu ya Tanzania.
 
Reactions: BAK
Naona MATAGA ndio wanawapangia CHADEMA namna ya kuitumia hiyo hela ikirudishwa, dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…