Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Duh!Acha udini wewe kima. Hujui kuwa nchi ikiongozwa na hao nduguzenu ndo huwa inanuka madawa ya kulevya na wizi kila pahala. Unataka kutuaminisha kuwa dini ndo inaongoza au mtu mwenyewe vip kuhusu JK alikuwa kiongozi mzuri?
Mkuu si ukubali tu kwamba CCM imetoa bonge la president???Tulia kwanza sindano iwaingieni vyema kusudi ukichaa wenu upone
Wakati wa magufuli hata mahakama hazikuwa huru kwa kweli huyu jaji mkuu anapaswa ajiuzulu amwachie mama ateuwe mtu mpya aliye huru.Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta. View attachment 1829233
Hangaika na vilaza wenzako na kama Hawapo basi kanawe miguu ukalaleMkuu si ukubali tu kwamba CCM imetoa bonge la president???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihiWakati wa magufuli hata mahakama hazikuwa huru kwa kweli huyu jaji mkuu anapaswa ajiuzulu amwachie mama ateuwe mtu mpya aliye huru.
Vijana wengi huangalia mambo kwa juu juu.Jk alikua baba wa demokrasia. Alikua kiongozi mzuri mno.
Fahamu jk alkua mwanajeshi, angetaka kuongoza nchi kibabe angeweza tu, lakini alikua mpole na mcheshi mwenye kutaka Suluhu kwenye mambo Mengi.
Fahamu Katika uongozi wa JK mambo Mengi yalikuwa wazi, zile habari za escrow na Richmond Jakaya aliacha wananchi wazijue na wajue mambo yanayoendelea kwenye nchi yao, alkua na uwezo mkubwa sana wa kutumia ubabe kuficha zile taarifa. Mzee Kikwete alkubali kukosolewa, alkua mvumilivu mno. Aliruhusu freedom of speech.
Pamoja na uanajeshi wake aliongoza nchi kiraia, sijawahi muona kikwete kavaa magwanda ya kijeshi, au ENZI zake sikuwahi kumwona Dc akiwa amevaa magwanda ya mgambo. Nchi iliongozwa katika misingi ya kufata Sheria. Hakukua na matisho. Na akikaa pale magogoni DAIMA alkua anafkiria wananchi wake, siku zote alfikiria maisha Bora Kwa watu wake. Jakaya Kikwete alkua mwanaume na nusu.
CCM ni chama kikubwa barani Africa.CCM imejaa Mashetani ila pia kuna Malaika wachache Mama ni mmojawapo atupe Tume HURU halafu aendelee kutawala
Aamyn aamynMungu mbariki Samia
Apewe muda ayafanyie kazi hayo kimakiniKabakiza mambo mawili tu nimpigie kura mwaka 2025
1. Tume huru ya uchaguzi
2. Katiba
Amina... yule mwendawazimu alikuwa analazimisha kutupeleka siko! Alaaniwe milele!
Amina.... Mama ana kazi sio ya kitoto; kuirudisha nchi kwenye mstari sahihi wa utawala bora ana kibarua kigumu sana. Huyu sasa ndiye wa kumwombea kweli kweli Mungu amjalie afya ya mwili, hekima na busara za kuwaongoza watu wake. Kila atokapo, aingiapo, na kila atendalo likapate kibali toka Kiti cha Enzi.
Aamyn aamynEe Mungu wa Majeshi umlinde Mama Samia Suluhu Hasan! Mpe nguvu na uwezo wa kuirejesha hii Nchi kwenye kile kisiwa cha amani.
Ninaanza kufunga kwa ajili hili!!!
Haiwezekani.Mama kweli ni Mama.. Mungu tunakushukuru sana sanaaa kutuletea Mama. Mama Samia uishi milele
Aamyn aamynEnyi Watanzania! Hatimaye Mungu kalikumbuka taifa lake Tena.
Tutakurudishia nini Eee Mwenyezi Mungu kwa fadhila hizi Jamani? Dah..
Mungu akupe maisha marefu mama yetu mpendwa Mhe. SSH.
Mheshimiwa rais anastahili pongeziTaratibu tunarudi kwenye utawala wa sheria...... Hongera Mama yetu Samia!