Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Salute Mingi sana.....
 
Jeshi la polisi linatumika vibaya mno hata sasa aibu hii anawahusu mno (unafiki)
Kitendo cha mtu kutaka usisemwe vibaya huku unatenda mabaya ni kibaya (unafiki)
Hakuna binadamu aliye mkamilifu ila huyu alizidi ukamilifu (tena anaomba aombewe)
Waliokuwa wanamuunga mkono huyu mwamba wajifunze!
 
Nakuhakikishia mbowe atataka apewe yeye binafsi. Mchaga kwenye pesa siyo mchezo babaangue!
 
Mwendwafyake aliko anaumbuka atakua anakasirika anaishia kujampajampa tuu...wenye haki wanaachiwa majambasi wake wanatiwa ndani na kufukuzwa kazi hihihiiii that's karma
 
AMINA kubwa sana. Mama abarikiwe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…