Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
Salute Mingi sana.....
 
Jeshi la polisi linatumika vibaya mno hata sasa aibu hii anawahusu mno (unafiki)
Kitendo cha mtu kutaka usisemwe vibaya huku unatenda mabaya ni kibaya (unafiki)
Hakuna binadamu aliye mkamilifu ila huyu alizidi ukamilifu (tena anaomba aombewe)
Waliokuwa wanamuunga mkono huyu mwamba wajifunze!
 
Narudia tena km habari hii ina ukweli chonde chonde CDM kwa sababu mpo kwny ujenzi wa ofisi zenu nchi nzima kwa hicho kidogo ambacho watanzania waliwachangieni kitumeni kwny majimbo yenu tena kwa usawa kimalizie ujenzi wa ofisi itakuwa kumbukumbu nzuri kwenu
Nakuhakikishia mbowe atataka apewe yeye binafsi. Mchaga kwenye pesa siyo mchezo babaangue!
 
Mwendwafyake aliko anaumbuka atakua anakasirika anaishia kujampajampa tuu...wenye haki wanaachiwa majambasi wake wanatiwa ndani na kufukuzwa kazi hihihiiii that's karma
 
.... Mama ana kazi sio ya kitoto; kuirudisha nchi kwenye mstari sahihi wa utawala bora ana kibarua kigumu sana. Huyu sasa ndiye wa kumwombea kweli kweli Mungu amjalie afya ya mwili, hekima na busara za kuwaongoza watu wake. Kila atokapo, aingiapo, na kila atendalo likapate kibali toka Kiti cha Enzi.
AMINA kubwa sana. Mama abarikiwe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom