Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Dah! jamaa walimnyong'onya saana aisee kipindi kile hadi huruma.
😢
 
Ally Hapi,Mrisho Gambo na Kasesele ni dini gani?
 
Nchi ilikua inaongozwa na Matapeli tu! Mama anaupiga mwingi Sana [emoji1787

Hakika Mama anamuumbua sana Jiwe.
Nyie hamna akili kabisa watu kama walikata rufaa unashangaaje kushinda ,na kwa mtindo huu mama anaokwenda nao kuna uwezekano ata acaccia watafungua kesi kudai fidia maana katika kuwapa watu haki kuna maslahi binafsi ya watu.
 
Haya mambo yangenoga zaidi yangetokea akiwepo JPM, Let's say akiwa amestaafu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…