Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui MÀTAGA na masalia ya mwendazake,yanajisikiaje?kitamu zaidi anaupiga kimya kimya, anazidi kujizolea point 3 kila mechi... Akimalizia na hili la Katiba na tume huru aisee hatutakuwa na zawadi ya kumpa mama wa watu.
Mwamuzi mkuu alikuwa yeye,YAANI NIKULIPE PESA YA SERIKALI HALAFU MAAMUZI UYAFANYE KINYUME CHA MATAKWA YANGU,MIMI NI RAIS NINAYEJITAMBUA HUWA SICHEZEWI HOVYO.Kwani Mwendazake alikuwepo mahakamani wakati akina Mbowe na wenzake wanahukumiwa? Hakimu alikuwa ni Mwendazake???
Na leo hii hakimu ni SSH???
Wewe ni mjingaKwani Mwendazake alikuwepo mahakamani wakati akina Mbowe na wenzake wanahukumiwa? Hakimu alikuwa ni Mwendazake???
Na leo hii hakimu ni SSH???
Eti nini....!!???
Nimeamini Mungu ni fundi hakosei aliona akituacha miaka 5 na jiwe nchi ingeumia sana, asante Mungu kwa zawadi uliyotupa.
Ally Hapi,Mrisho Gambo na Kasesele ni dini gani?Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sn? kuna la kujifunza asee.
Mahakama ziligeuka kuwa TRAKwa miaka 5 hatukuwa na mahakama tulikuwa na shina la CCM pekee
Nchi ilikua inaongozwa na Matapeli tu! Mama anaupiga mwingi Sana
[emoji1787![]()
Nyie hamna akili kabisa watu kama walikata rufaa unashangaaje kushinda ,na kwa mtindo huu mama anaokwenda nao kuna uwezekano ata acaccia watafungua kesi kudai fidia maana katika kuwapa watu haki kuna maslahi binafsi ya watu.Hakika Mama anamuumbua sana Jiwe.
Hili ni PIGO lingine kubwa kwa MATAGA na push gang.
Hakika sasa wafuasi wa hilo kundi hovu wanaona aibu kubwa sanaNchi ilikua inaongozwa na Matapeli tu! Mama anaupiga mwingi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya mambo yangenoga zaidi yangetokea akiwepo JPM, Let's say akiwa amestaafu...Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta. View attachment 1829233
Leo mataga wote wanaharisha damu.Mataga wanazidi kuchanganywa tu.