Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Dah! jamaa walimnyong'onya saana aisee kipindi kile hadi huruma.
😢
 
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sn? kuna la kujifunza asee.
Ally Hapi,Mrisho Gambo na Kasesele ni dini gani?
 
Nchi ilikua inaongozwa na Matapeli tu! Mama anaupiga mwingi Sana
emoji1787.png
emoji1787.png
[emoji1787

Hakika Mama anamuumbua sana Jiwe.
Nyie hamna akili kabisa watu kama walikata rufaa unashangaaje kushinda ,na kwa mtindo huu mama anaokwenda nao kuna uwezekano ata acaccia watafungua kesi kudai fidia maana katika kuwapa watu haki kuna maslahi binafsi ya watu.
 
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta. View attachment 1829233
Haya mambo yangenoga zaidi yangetokea akiwepo JPM, Let's say akiwa amestaafu...
 
Back
Top Bottom