Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Sabaya na magufuli wanaendana kila kitu,unyang'anyi ,ukatili,kuweka watu ndani na kutishia ,kuna uwezekano mkubwa Sabaya alikuwa mtoto wa nje
 
Mpuuzi wewe,tulikuwa na mahakama kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita ?
Wewe pamoja na wajinga wenzio ndio hamutambui kuwa kulikuwa hakuna mahakama ,kama kesi ilikatiwa rufaa kuna maajabu gani? Hiyo ndio kesi ya kwanza kukatiwa rufaa na kushinda na kwa kutojitambua kwenu mnashindwa kuwa na kumbukumbu kuwa jaji aliyeukumu nitofauti na aliyetoa ushindi ndio maana ikaitwa mahakama.
 
Sabaya na magufuli wanaendana kila kitu,unyang'anyi ,ukatili,kuweka watu ndani na kutishia ,kuna uwezekano mkubwa Sabaya alikuwa mtoto wa nje
Du! kwa iyo unataka kisema Sabaya ni damu ya mwendezake
 
Legacy ya mwendawazimu yule inazidi kuchanwa chanwa, Mungu ni mwema sana, kikubwa uvumilivu tu ila anasikia kila kilio cha wenyehaki
 
Mkuu umeongea ukweli kabisa, wakristo tunafeli sijui wapi, yaani tuna roho ya ajabu mno.

Mama atake asitake aongezewe muda wa kuongoza nchi bila kikomo
 
Legacy ya mwendawazimu yule inazidi kuchanwa chanwa, Mungu ni mwema sana,kikubwa uvumilivu tu ila anasikia kila kilio cha wenyehaki
Hajaacha legancy yenye uelekeo wako kaacha vitu ambavyo vinaonekana kwa macho .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…