Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na milele Amina.... yule mwendawazimu alikuwa analazimisha kutupeleka siko! Alaaniwe milele!
Mzee gani tena jamani si tukikubaliana ni kiongozi wa malaikaIle pesa si iligharamia mazishi ya mzee
Damn..Sabaya na magufuli wanaendana kila kitu,unyang'anyi ,ukatili,kuweka watu ndani na kutishia ,kuna uwezekano mkubwa Sabaya alikuwa mtoto wa nje
we unaona wana hatia gani?
Wewe pamoja na wajinga wenzio ndio hamutambui kuwa kulikuwa hakuna mahakama ,kama kesi ilikatiwa rufaa kuna maajabu gani? Hiyo ndio kesi ya kwanza kukatiwa rufaa na kushinda na kwa kutojitambua kwenu mnashindwa kuwa na kumbukumbu kuwa jaji aliyeukumu nitofauti na aliyetoa ushindi ndio maana ikaitwa mahakama.Mpuuzi wewe,tulikuwa na mahakama kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita ?
Du! kwa iyo unataka kisema Sabaya ni damu ya mwendezakeSabaya na magufuli wanaendana kila kitu,unyang'anyi ,ukatili,kuweka watu ndani na kutishia ,kuna uwezekano mkubwa Sabaya alikuwa mtoto wa nje
Mbona unateseka? Mfuate mumeo jiwe huko jehanam mkateseke woteFaini ikuwa ina husu nini.
Hata jana mlidemka kuleta uzushi kwamba Lisu kalipwa hela kumbe uongo tu
Unapenda sana kuwa na mume ee?Mbona unateseka? Mfuate mumeo jiwe huko jehanam mkateseke wote
Mkuu umeongea ukweli kabisa, wakristo tunafeli sijui wapi, yaani tuna roho ya ajabu mno.Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sn? kuna la kujifunza asee.
Yaani nazidi kuamini Madai ya Akina Freeman Mbowe...kumbe Rais aweza kuishawishi mahakama mtu Afungwe?Halafu bado kuna watu wanasema katiba mpya si kipaumbele chao- Haya yaliyotokea katiba ikiboreshwa hayatakwepo tena
Hajaacha legancy yenye uelekeo wako kaacha vitu ambavyo vinaonekana kwa macho .Legacy ya mwendawazimu yule inazidi kuchanwa chanwa, Mungu ni mwema sana,kikubwa uvumilivu tu ila anasikia kila kilio cha wenyehaki
Nyie MATAGA mkiambiwa Katiba ni mbovu muelewege. Rais aweza mpa Agizo Jaji kuhusu kuhukumu mtu.Kwani Mwendazake alikuwepo mahakamani wakati akina Mbowe na wenzake wanahukumiwa? Hakimu alikuwa ni Mwendazake???
Na leo hii hakimu ni SSH???
Mimi natamani videmu kama wewe ila naogopa lazima umeachiwa Ngoma.Unapenda sana kuwa na mume ee?
MwendawazimuKwa nn sasa dikteta uchwara anazidi kupakwa kinyesi?
Kwamba hujui ama unatania kaka?Kwani Mwendazake alikuwepo mahakamani wakati akina Mbowe na wenzake wanahukumiwa? Hakimu alikuwa ni Mwendazake???
Na leo hii hakimu ni SSH???