Mbona unataka kufosi sisi tunasema kama ni HAKI aitende HAKI na Tume HURU ni kutenda HAKI sasa ulitaka tuwe kama nyie wa Kusifia tu kwa ajili kuhongwa pesa.Tume huru ya nini tena?
Tuko vizuri tunaenda vizuri na ccm ya mama!
Mi 10 tena kwao
Mimi ni Christian ila hapa umeongea ukweli kabisaTuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sn? kuna la kujifunza asee.
Sawa ila pesa hizo zikilirudishwa nao wazirudishe...kwa waliochangiaMahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.
====
Utajuaje, je kama lilikuwa ni dili la yeye na mahakimu watuchangishe fedha na badaye tena wamrudishie?Kwahiyo ulichanga ya nini wakati ilikuwa hiari na watu walitoa kama msaada
Vinapenda kuchimbwa sana mafuta hivyo vilegacy vya Mwendawazimu, ngoma lazima hapo.Mimi natamani videmu kama wewe ila naogopa lazima umeachiwa Ngoma.
Huyu ni tajiri miaka yoteMbowe anaenda kutajirika maana alilipa milioni 70, hongera zake
Mkuu sasa si unaona haki invsavyotendeka?Mbona unataka kufosi sisi tunasema kama ni HAKI aitende HAKI na Tume HURU ni kutenda HAKI sasa ulitaka tuwe kama nyie wa Kusifia tu kwa ajili kuhongwa pesa.
Huo ni muono wakoHeshima ya serikali inaendelea kushuka kwa kasi
Hutaki kunielewa tu tena kwa makusudiMkuu sasa si unaona haki invsavyotendeka?
Ndio maana tunasema mi 10 tena kwa mother!
Nchi ilikua inaongozwa na Matapeli tu! Mama anaupiga mwingi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hee malaika wa Mungu hawawezi kukubali kuongozwa na dikteta uchwaraMzee gani tena jamani si tukikubaliana ni kiongozi wa malaika
Walikuwa wamefika chapter ya kwanza, kijana yule wa Hai akavuruga kila kitu - sasa hivi wamerudi kuandika introduction upya..Legasi ya shujaa inazidi kuchafulliwa
Sehemu ya kutafuta waume iko kuna jukwa lake Melo katusadia kila kitu na jukwaa lake,Mimi natamani videmu kama wewe ila naogopa lazima umeachiwa Ngoma.
Na wewe acha unafiki hizi ni siasa chafu kuingiza udini na kujifanya ni dini nyingune. Wakati anauawa mwangosi na kuteswa kuponea kifo dr ulimboka rais alikuwa dini gani?waliouawa zanzibar na makanida kuchomwa moto wengine kumwagjwa tindikali rais alikuwa dini gani? Richmond,IPtl,Tegeta Escrow,mawaya ya kulevya? Acheni kuharibu Utanzania kupitia Dini za wageni na unafiki wenu.hizi propaganda mnazosambaza za kuingiza dini ni sumu.Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
Ktk hili, imepanda.Heshima ya serikali inaendelea kushuka kwa kasi