imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mbona unataka kufosi sisi tunasema kama ni HAKI aitende HAKI na Tume HURU ni kutenda HAKI sasa ulitaka tuwe kama nyie wa Kusifia tu kwa ajili kuhongwa pesa.Tume huru ya nini tena?
Tuko vizuri tunaenda vizuri na ccm ya mama!
Mi 10 tena kwao