Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Tume huru ya nini tena?

Tuko vizuri tunaenda vizuri na ccm ya mama!

Mi 10 tena kwao
Mbona unataka kufosi sisi tunasema kama ni HAKI aitende HAKI na Tume HURU ni kutenda HAKI sasa ulitaka tuwe kama nyie wa Kusifia tu kwa ajili kuhongwa pesa.
 
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sn? kuna la kujifunza asee.
Mimi ni Christian ila hapa umeongea ukweli kabisa
 
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.

====
Sawa ila pesa hizo zikilirudishwa nao wazirudishe...kwa waliochangia
 
Kwahiyo ulichanga ya nini wakati ilikuwa hiari na watu walitoa kama msaada
Utajuaje, je kama lilikuwa ni dili la yeye na mahakimu watuchangishe fedha na badaye tena wamrudishie?

sisi wananchi tunaona ni upigaji na wizi wa fedha za walala hoi

Pesa yangu naitaka aisee
 
Legacy ya Mwendawazimu ni shida.
Tunataka katiba mpya.
 
Mbona unataka kufosi sisi tunasema kama ni HAKI aitende HAKI na Tume HURU ni kutenda HAKI sasa ulitaka tuwe kama nyie wa Kusifia tu kwa ajili kuhongwa pesa.
Mkuu sasa si unaona haki invsavyotendeka?

Ndio maana tunasema mi 10 tena kwa mother!
 
Serikali iamrishwe wailipe na familia ya yule binti aliyeuawa na risasi kama hawakuwa wamefanya hivyo...
 
Legasi ya shujaa inazidi kuchafulliwa
Walikuwa wamefika chapter ya kwanza, kijana yule wa Hai akavuruga kila kitu - sasa hivi wamerudi kuandika introduction upya..
 
Mimi natamani videmu kama wewe ila naogopa lazima umeachiwa Ngoma.
Sehemu ya kutafuta waume iko kuna jukwa lake Melo katusadia kila kitu na jukwaa lake,
.
Sasa hii ya kutafuta waume kwa kujizungusha hutapata mtu, alafu mimi nmeoa siwezi kuwa na mke wa pili imani yangu hairuhusu.

La kama wewe ni bwabwa, nenda kuna jukwaa kule la mahusiano kaanzishe uzi wadau wanaotumia hio bidhaa watakujia pm na mtakubaliana,. Hii stail yako unayoitumia hutapata mme wala msafisha mitaro!
 
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
Na wewe acha unafiki hizi ni siasa chafu kuingiza udini na kujifanya ni dini nyingune. Wakati anauawa mwangosi na kuteswa kuponea kifo dr ulimboka rais alikuwa dini gani?waliouawa zanzibar na makanida kuchomwa moto wengine kumwagjwa tindikali rais alikuwa dini gani? Richmond,IPtl,Tegeta Escrow,mawaya ya kulevya? Acheni kuharibu Utanzania kupitia Dini za wageni na unafiki wenu.hizi propaganda mnazosambaza za kuingiza dini ni sumu.
 
Back
Top Bottom