Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Hutujisikii vibaya kwa sababu kila ufalme na zama zake.Sijui MÀTAGA na masalia ya mwendazake,yanajisikiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutujisikii vibaya kwa sababu kila ufalme na zama zake.Sijui MÀTAGA na masalia ya mwendazake,yanajisikiaje?
Pesa inarudishwa haraka sanaIle pesa si iligharamia mazishi ya mzee
Wewe ndio huna akili kabisa! Kwani acacia wakishinda wakalipwa chao kunatatizo gani?? Kila aliyedhulumiwa apewe chake halali bila kujali ni ACACIA wala nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie hamna akili kabisa watu kama walikata rufaa unashangaaje kushinda ,na kwa mtindo huu mama anaokwenda nao kuna uwezekano ata acaccia watafungua kesi kudai fidia maana katika kuwapa watu haki kuna maslahi binafsi ya watu.
Kwani nini hakikueleweka hapo?Mbona una haraka sana mkuu... Unge tupa na dondoo za hiyo kesi
Legacy yenyewe ni invisible tutaiona wapi tuirudisheTukumbuke kuendeleza legacy
Ety mbowe alimshika pabaya mama akoFaini ikuwa ina husu nini.
Hata jana mlidemka kuleta uzushi kwamba Lisu kalipwa hela kumbe uongo tu
Mimi ni mkiristo lakini ninakubaliana na wewe. Ndiyo maana na Mungu anawapa maisha marefu. Mwinyi mzima anadunda, Kikwete naye yumo vizuri. Wezangu na mimi wote wameondoka ghafula ghafula. Nimejifunza jambo moja kwamba kutenda haki ni jambo jema na usipende kudhulumu watu vitu vyao.Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sn? kuna la kujifunza asee.
Nashauri Mama aongezewe ulinzi.Hili ni PIGO lingine kubwa kwa MATAGA na push gang.
Wallah kumpata yoyote aliyekuwa akishiriki na kufurahia udhalimu nambota.Mataga wanazidi kuchanganywa tu.
Ninacho furahi ni kuyaona mataga yakizidi kuumia kila siku ya Mungu.kitamu zaidi anaupiga kimya kimya, anazidi kujizolea point 3 kila mechi... Akimalizia na hili la Katiba na tume huru aisee hatutakuwa na zawadi ya kumpa mama wa watu.
Kwanza hajawahi kuwa na legacyLegasi ya shujaa inazidi kuchafulliwa
Mungu siyo yohana... yule mwendawazimu alikuwa analazimisha kutupeleka siko! Alaaniwe milele!