Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mmh, hivi hii ni kweli?

But why? Sababu ni nini hasa? Watu waliteseka, wakadhalilika na kuumiza familia kiuchumi na kihisia eti kwa furaha ya kikundi fulani cha wahuni tu chini ya mtu aliyeitwa "Rais" John Pombe Magufuli!

Walionewa? Kwanini mahakama haikuliona hilo wakati huo?

Tafsiri ya hatua hii ni nini kwa mahakama?

Kama mahakama inataka kutunza heshima yake, ijitokeze hadharani na itoe tamko kuwa ilishinikizwa na na aliyekuwa Rais wa JMT John Pombe Magufuli itoe hukumu hiyo kwa maslahi ya siasa za udikteta!
 
Sooon kuna watu wataumia.wanavutwaaa wakijaa wanapigwa counter attack..serikari ni ile ile
 
Nyie hamna akili kabisa watu kama walikata rufaa unashangaaje kushinda ,na kwa mtindo huu mama anaokwenda nao kuna uwezekano ata acaccia watafungua kesi kudai fidia maana katika kuwapa watu haki kuna maslahi binafsi ya watu.
Wewe ndio huna akili kabisa! Kwani acacia wakishinda wakalipwa chao kunatatizo gani?? Kila aliyedhulumiwa apewe chake halali bila kujali ni ACACIA wala nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Faini ikuwa ina husu nini.

Hata jana mlidemka kuleta uzushi kwamba Lisu kalipwa hela kumbe uongo tu
 
Ndo kpindi katiba mpya inahitajika kuliko wakat wowote katika historia ya nchi yetu
 
Yule jaji anaotwa Simba nilimtilia Sana mashaka juu ya hukumu nyingi, lakini Mungu anamuona,.
Taifa lazima kuwe na uwajibikaji na niwakati yule polisi kuwajibika kwa mauaji ya Akwilina.
 
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sn? kuna la kujifunza asee.
Mimi ni mkiristo lakini ninakubaliana na wewe. Ndiyo maana na Mungu anawapa maisha marefu. Mwinyi mzima anadunda, Kikwete naye yumo vizuri. Wezangu na mimi wote wameondoka ghafula ghafula. Nimejifunza jambo moja kwamba kutenda haki ni jambo jema na usipende kudhulumu watu vitu vyao.
 
kitamu zaidi anaupiga kimya kimya, anazidi kujizolea point 3 kila mechi... Akimalizia na hili la Katiba na tume huru aisee hatutakuwa na zawadi ya kumpa mama wa watu.
Ninacho furahi ni kuyaona mataga yakizidi kuumia kila siku ya Mungu.
Hakika mama Samia ni Dr wa kweli wa kutibu madonda tuliyo wachiwa na push gang
 
Back
Top Bottom