tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Namuona etwege,crimea,wakudavadua,troll jf na wenzao wenye tabia za kuwashwa mzuti,walivyonuna mpka vijambio vimesinyaaa kma ngozi ya tembo mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekuelewa sana mkuu!Hutaki kunielewa tu tena kwa makusudi
Kama hakutubu akiwa hai, hata aliombewa vipi adhabu iko pale pale. Tutende mema bila kujali mamlaka yetu kwa wengineMungu amsamehe Mwendazake dhambi zake huko aliko...hakuwa yeye ni makosa ya kibinadamu.
Acha udini wewe kima. Hujui kuwa nchi ikiongozwa na hao nduguzenu ndo huwa inanuka madawa ya kulevya na wizi kila pahala. Unataka kutuaminisha kuwa dini ndo inaongoza au mtu mwenyewe vip kuhusu JK alikuwa kiongozi mzuri?Mkuu umeongea ukweli kabisa, wakristo tunafeli sijui wapi, yaani tuna roho ya ajabu mno.
Mama atake asitake aongezewe muda wa kuongoza nchi bila kikomo
Yes- Mtu anayekuteua kwenye nafasi fulani anashindwa nini kukupa maagizo? Kuna kitu hakiko sawa- Mahaka, Bunge na Serikali kikatiba ni mifumo inayojitegemea- Job juzi anawatisha wabunge kuwa wasipopitisha bajeti ya serikali rais anaweza kuvunja bunge.Yaani nazidi kuamini Madai ya Akina Freeman Mbowe...kumbe Rais aweza kuishawishi mahakama mtu Afungwe?
Vitu vinavyoonekana kwa macho ndio Legacy?madaraja au Mabwawa?kwani Nyerere hakujenga hayo?mbona hatumkumbuki kwa Majengo wala Madaraja ila tunamkumbuka kwa Mema aliyotendaHajaacha legancy yenye uelekeo wako kaacha vitu ambavyo vinaonekana kwa macho .
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
Kwani Mwendazake alikuwepo mahakamani wakati akina Mbowe na wenzake wanahukumiwa? Hakimu alikuwa ni Mwendazake?
Na leo hii hakimu ni Rais Samia?
Hiyo haiwahusu fisiemu.Sawa ila pesa hizo zikilirudishwa nao wazirudishe...kwa waliochangia
Sio Mil 300 tena, sababu kuna hela za kina mashinji, Mdee na Bulaya.Mil 300 ni ndogo kujenge ofisi mikoa yote ,wajenge ofisi nzuri kubwa ya makao makuu
Mataga bana...Faini ikuwa ina husu nini.
Hata jana mlidemka kuleta uzushi kwamba Lisu kalipwa hela kumbe uongo tu
Jk alikua baba wa demokrasia. Alikua kiongozi mzuri mno.Acha udini wewe kima. Hujui kuwa nchi ikiongozwa na hao nduguzenu ndo huwa inanuka madawa ya kulevya na wizi kila pahala. Unataka kutuaminisha kuwa dini ndo inaongoza au mtu mwenyewe vip kuhusu JK alikuwa kiongozi mzuri?
Kwa mwendo wa mama hata milele sio mbayaMi 10 tena kwa mama!
.
Lisu asahau juwa rais tuko na mama hadi 2050
Kabisa! Wale wengine watasubiri sanaKwa mwendo wa mama hata milele sio mbaya