Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Namuona etwege,crimea,wakudavadua,troll jf na wenzao wenye tabia za kuwashwa mzuti,walivyonuna mpka vijambio vimesinyaaa kma ngozi ya tembo mzee
 
Hutaki kunielewa tu tena kwa makusudi
Nmekuelewa sana mkuu!

Nimekuona unasifia sana utawala huu wa mama chini ya ccm ndio maana nikasema sasa ccm imeji update kwa hiyo mi 10 tena kwao maana wanafanya kazi nzuri.
 
Mungu amsamehe Mwendazake dhambi zake huko aliko...hakuwa yeye ni makosa ya kibinadamu.
Kama hakutubu akiwa hai, hata aliombewa vipi adhabu iko pale pale. Tutende mema bila kujali mamlaka yetu kwa wengine
 
Mkuu umeongea ukweli kabisa, wakristo tunafeli sijui wapi, yaani tuna roho ya ajabu mno.

Mama atake asitake aongezewe muda wa kuongoza nchi bila kikomo
Acha udini wewe kima. Hujui kuwa nchi ikiongozwa na hao nduguzenu ndo huwa inanuka madawa ya kulevya na wizi kila pahala. Unataka kutuaminisha kuwa dini ndo inaongoza au mtu mwenyewe vip kuhusu JK alikuwa kiongozi mzuri?
 
Mwendazake aongezewe kuni za kutosha uko alipo, aliendesha nchi kihuni na kiroho mbaya sana
 
Yaani nazidi kuamini Madai ya Akina Freeman Mbowe...kumbe Rais aweza kuishawishi mahakama mtu Afungwe?
Yes- Mtu anayekuteua kwenye nafasi fulani anashindwa nini kukupa maagizo? Kuna kitu hakiko sawa- Mahaka, Bunge na Serikali kikatiba ni mifumo inayojitegemea- Job juzi anawatisha wabunge kuwa wasipopitisha bajeti ya serikali rais anaweza kuvunja bunge.
 
Mhimili wa Mahakama nao umeanza kurudishiwa uhai wake wa kuoegemea upande wowote
 
Hajaacha legancy yenye uelekeo wako kaacha vitu ambavyo vinaonekana kwa macho .
Vitu vinavyoonekana kwa macho ndio Legacy?madaraja au Mabwawa?kwani Nyerere hakujenga hayo?mbona hatumkumbuki kwa Majengo wala Madaraja ila tunamkumbuka kwa Mema aliyotenda
 
Fikir chukua hatua
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
 
Acha udini wewe kima. Hujui kuwa nchi ikiongozwa na hao nduguzenu ndo huwa inanuka madawa ya kulevya na wizi kila pahala. Unataka kutuaminisha kuwa dini ndo inaongoza au mtu mwenyewe vip kuhusu JK alikuwa kiongozi mzuri?
Jk alikua baba wa demokrasia. Alikua kiongozi mzuri mno.
Fahamu jk alkua mwanajeshi, angetaka kuongoza nchi kibabe angeweza tu, lakini alikua mpole na mcheshi mwenye kutaka Suluhu kwenye mambo Mengi.

Fahamu Katika uongozi wa JK mambo Mengi yalikuwa wazi, zile habari za escrow na Richmond Jakaya aliacha wananchi wazijue na wajue mambo yanayoendelea kwenye nchi yao, alkua na uwezo mkubwa sana wa kutumia ubabe kuficha zile taarifa. Mzee Kikwete alkubali kukosolewa, alkua mvumilivu mno. Aliruhusu freedom of speech.

Pamoja na uanajeshi wake aliongoza nchi kiraia, sijawahi muona kikwete kavaa magwanda ya kijeshi, au ENZI zake sikuwahi kumwona Dc akiwa amevaa magwanda ya mgambo. Nchi iliongozwa katika misingi ya kufata Sheria. Hakukua na matisho. Na akikaa pale magogoni DAIMA alkua anafkiria wananchi wake, siku zote alfikiria maisha Bora Kwa watu wake. Jakaya Kikwete alkua mwanaume na nusu.
 
Serikali ya CCM na Mhimili wa Mahakama iliyokuwa ikiamrishwa na Mamlaka inaaendelea Kuumbuka tu hakyanani.
 
Back
Top Bottom