Mahakama Kuu ya Kenya bado imemkalia kooni IGP afike mahakamani ahojiwe Kuhusu utekaji ama ahukimiwe

Mahakama Kuu ya Kenya bado imemkalia kooni IGP afike mahakamani ahojiwe Kuhusu utekaji ama ahukimiwe

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
2,887
Reaction score
5,687
Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama.

Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani. Mahakama imempa onyo la mwisho. Afike mahakamani au ahukimiwe
 
Tanzania tunatakiwa tufike huku, katiba mpya ni muhimu kuliko maigizo yoyote kwa sasa. Habari za mtu hawezi kushitakiwa sijui kinga ya kiongozi huo ujinga ifike muda tuachane nao.
 
Back
Top Bottom