kagoshima JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 2,887 Reaction score 5,687 Jan 21, 2025 #1 Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama. Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani. Mahakama imempa onyo la mwisho. Afike mahakamani au ahukimiwe
Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama. Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani. Mahakama imempa onyo la mwisho. Afike mahakamani au ahukimiwe
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 22, 2025 #3 Duh aiseee
U Utaula wa chuya JF-Expert Member Joined Sep 19, 2022 Posts 495 Reaction score 1,344 Jan 22, 2025 #4 Tanzania tunatakiwa tufike huku, katiba mpya ni muhimu kuliko maigizo yoyote kwa sasa. Habari za mtu hawezi kushitakiwa sijui kinga ya kiongozi huo ujinga ifike muda tuachane nao.
Tanzania tunatakiwa tufike huku, katiba mpya ni muhimu kuliko maigizo yoyote kwa sasa. Habari za mtu hawezi kushitakiwa sijui kinga ya kiongozi huo ujinga ifike muda tuachane nao.