Pre GE2025 Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
Jinsia yako Tafadhali....ili tuendelee
 
Taifa linaongoza kwa laana ndiyo maana hata mvua hazinyeshi, unamfunga mtu tena babu kisa kosa ambalo linadhamana kwanini nchi isipate laana? yaani hutaki kukosolewa kisa una mamlaka. Trump tunyooshee hawa wajinga
Wapi mvua hazinyeshi!?..zinanyesha mpaka radi zinaua watu na ng'ombe,mwache huyo mzee aliyechoka kupumzika akae ndani
 
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
Yatosha wewe ukibaki kuwa chawa na si kutaka kilamtu awe kama wewe
 
Taifa linaongoza kwa laana ndiyo maana hata mvua hazinyeshi, unamfunga mtu tena babu kisa kosa ambalo linadhamana kwanini nchi isipate laana? yaani hutaki kukosolewa kisa una mamlaka. Trump tunyooshee hawa wajinga
Kwahiyo kama ni babu ndo ana ruhusa ya kufanya jinai? Kwahiyo akikuomba nyuma utampa kwakuwa ni babu? Slaa ni mshenzi na hicho anachopata ndo kinamstahili.
 
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
Slaa na Lissu hawana tofauti… nilishangaa kuona video iliyoonesha Bi Mushumbusi akimtandika Slaa kama mtoto!! Na ubalozi ulipoisha tu akamwacha!! Huyu babu kapata kichaa!
 
Kwahiyo kama ni babu ndo ana ruhusa ya kufanya jinai? Kwahiyo akikuomba nyuma utampa kwakuwa ni babu? Slaa ni mshenzi na hicho anachopata ndo kinamstahili.
Siku mumeo akikamatwa kwa uovu na kunyimwa dhamana ndiyo utapata akili, sijasema afutiwe kesi lakini apewe dhamana ni haki ake
 
Mahakama Kuu ya Tanzania, masijala kuu jijini Dar Es Salaam imegiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.

Shauri hilo lilipelekwa Mahakama kuu baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumnyima dhamana, na kumfanya Dr.Slaa kusota gereza la Segerea kwa zaidi ya wiki mbili sasa.

Soma, Pia:
Huu ni mzimu? Au msukule?
 
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
Hizi sasa ndio akili halisi ya vijana wengi wa kitanzania, kupigania mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii walishaaminishwa ni uhaini, hata yule anaethubutu kuwasemea wanamuona mjinga, na asiefaa, kama vile haitoshi wanamtusi mzee! Kama huyu hapa akishavimbiwa ugali na dagaa anenda kubeti au kukaa kijiweni kumtukana slaa, nyambafu kbs!
 
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
You are kind of idiot ! If he keeps quiet today stones will do… show us where his words never turned out to be true. You have to reach a point and understand that is what he was born for and he will die for. Don’t be sorry for him, he is strong and not sorry for himself because he believes in what he said.
 
huyu babu atakuja kufia mahabusu yaani umri huo bado unashindana na wenye nguvu ? hayo matesoi anayoyapata anajipunguzia umri wa kuishi bure hela anayo ya kutosha kula vizuri huku akilea wajukuu sasa anachokitafuta sijui ni nini ana laana ya upadre huyu ndiyo maana hata mkewake alikuwa anamduda ma ngumi
Wajukuu atoe wapi?
Mkewe kachukuliwa na wazungu kabla ya kumzalia.
Wale wa Rose Kamili aliwakataa, poor ex padre
 
Back
Top Bottom